Pale Kibeho nchini Rwanda Bikira maria aliwatokea watu na mpka leo huwa mamia ya maelfu wanaenda kuhiji pale. Ikumbukwe Bikra maria ni mama wa bwana hata Elizabeth alikiri hilo baada ya kujazwa...
TUNALOJUKUMU LA KUDHIBITI HALI YA UKATILI NA UNYAMA UNAOJENGEKA KATIKA WENZETU
Na Comrade Ally Maftah
Nilipata kusikia tukio la dada aliyefanyiwa ukatili wa kijinsia nikajidhibiti sana...
1) Kama ingetakiwa paka awe na kitambulisho cha NIDA Basi asingesajili kwa alama za vidole bali angesaini kwa alama ya Pua kwa sababu kwa kupitia pua zao ndio utapata upekee wa kila paka...
Kabla ya nauli kupandishwa mwishoni mwa mwaka jana nauli ya daladala kutoka Kivule fremu 10 hadi Banana ilikuwa 500/=. Baada ya serikali kupandisha nauli toka 500/= kwenda 600/= daladala za huku...
Wengi tumekua tukielewa kuna mihimili 3 tu, BUNGE, SERIKALI, MAHAKAMA. hivi majuzi waandishi wa habari nao walijinasibu kwamba "UANDISHI WA HABARI" ni mhimili muhimu usio rasmi. ila kwa sasa...
Ukiwasikiliza kwa sikio la kusia wana hoja, japo wapo kinyume na imani zetu, wapo kinyume na uungu na dini na vyote vyenye mwelekeo huo.
Nina nani haswa hawa , wamepata wapi elimu hio wanayo...
Habari mdau wa jamvi hivi unafikiri ni kwann matukio ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia yameongezeka sana kwa sasa
Je ni hatua gani stahiki zinapaswa kuchukuliwa kutatua janga hili
Jina Kamili: Solomoni Sauli Mwalabhila
Kuzaliwa: August 01, 1978
Mahali: Mbeya
Elimu
Elimu ya Msingi: Shule ya Msingi Chunya kati(1988-1995)
Kazi
Alijiajiri kuanzia mwaka 1997, alianza...
Nimepata mfadhaiko nilipopata taarifa kutoka kwa kijana wangu, kuhusu hitaji mojawapo la kuomba mkopo anatakiwa awe na hitibati ya uhakiki wa cheti chake chakuzaliwa,
sasa inakuwaje cheti ambacho...
Aisee wanajamvi leo nimepigwa faini kwa kosa la kutosimama kwenye Zebra. Sio kupunguza mwendo ni kutosimama kabisa.
Nilikuwa sijui kama ndio hivyo.
Kwan nilipunguza mwendo na hakukuwa na watu...
Hello!
Niliwahi kupost mada kama hii miezi michache iliyopita. Leo ninaipost tena baada ya kufanya utafiti tena na tena.
Watu wengi wanadaiwa sio mchezo. Hata Mimi niliwahi kuvamiwa na roho ya...
Rest in peace mwamba sauli
December 2018 Chuma zake za Kwanza Sauli Gemilang DPN na Sauli Benz DPC. Zilionekana Maeneo tofauti Tofauti Ubungo Riverside, Kibaha Na Msamvu Zikielekea Kwao Chunya...
Nani aliyeanzisha huo uhuni wa kwaya kuimba kama wasanii wa bongo flavour na playback? Mchungaji Paul Semba yuko sahihi kukemea huo ushenzi. Hata katoliki mnaowasimanga hawawezi kufanya hiki...
Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi kupitia kinywaji chake pendwa cha Tanzanite Premium Vodka imedhamini Maonesho ya 3 ya Biashara, Viwanda, Madini na Kilimo ya...
Wafanyabiashara wadogo walioondolewa pembezoni mwa barabara Mwaka 2022 na kupelekwa katika eneo la Kata ya Majengo ilipokuwa Stendi ya Zamani ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe...
KAMA mzazi au Mlezi moja ya lengo kuu la Malezi ya Mtoto wako linapaswa kuwa: "Kumfundisha kujitegemea"....
MTOTO anapaswa kukulia katika Malezi yanayompa Changamoto ya kukuza Ujuzi, ukakamavu...
Nianze kwa kumuenzi jemedari Mkwawa kwa ujasiri wa kukabiliana na Wajerumani.
Kama kuna mtu ana details za kutosha atusaidie ili tuweze kufahamu kuhusu hii issue.
Kama uongozi wa wahehe wakati...
Ukiajiriwa hizi Taasisi . Wewe umeuaga umaskini mazima au uwe Zombi na mlevi au mpenda ngono kupitiliza. Posho kama zote pia ya kubrashia viatu nje nje
Wadau hamjamboni nyote?
Yanga ugenini dhidi ya Kagera sugar 29 August na Simba ataanzia nyumbani uwanja wa KMC 18 August dhidi ya Tabora
Swali langu kwanini simba acheze tarehe 18 na kisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.