Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wa kuu, kijana moja anaefahamika kwa jina la meshaki mkazi wa kitongoji cha makondo "A" amechomwa na kisu sehemu kadhaa za mwili na aliyetendanda unyama huu ni jirani take, suala hill...
6 Reactions
16 Replies
919 Views
Wakuu, Kufuatia tukio la binti alibakwa na kuingiliwa kinyume cha maumbile wadau mbalimbali wamelaani na kuitaka serikali itoe tamko na kuwakamata wote waliohusika. Kufikia jana imetoka taarifa...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Kamati ya Olympiki ya Kimataifa (IOC) hutoa ruzuku kwa wanachama wake wote duniani wajulikanao kama (NOC) yaani National Olympic Committees kwa kila nchi ambayo inashiriki mashindano ya Olimpiki...
2 Reactions
11 Replies
973 Views
Anonymous
Naomba Serikali isikie kilio chetu sisi wakulima wa zao la Mahindi Nchini hasa nyanda za juu kusini mikoa ya Rukwa, Njombe, Ruvuma. Bei ya mahindi bado ni ya chini mtaani (350-420)ukiacha bei...
2 Reactions
3 Replies
729 Views
Kwanini wahusika wa miondo mbinu nyingi ya mwendokasi imewaacha mama ntilie na wauza chips wanaofanya kazi pembezoni ama karibu na miundombinu hii wamwage maji machafu na mataka taka kwenye mitaro...
2 Reactions
5 Replies
545 Views
Habari. Katika Kujiunga kwangu Jf leo nakuletea mikasa yangu bora na yenye kufundisha iliwahi kusimuliwa hapa ndani. 1..umughaka "Tulichomfanya Yule mchawi hatakuja kusahau kwamwe maishani" huu...
7 Reactions
25 Replies
7K Views
NILIVYO KUTANA NA MSUKUMA KWENYE MSITU WA MALANGAMILO ILIKUWA JUZI TU yaani usiku wa kuamkia Jana Kabla ya hakujakucha.... Hakuja pambauzika, usiku wa siku hiyo, niliomba Dua kwa sir God...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Habari wanaJamiiForums. Kwanza nimshukuru Mungu kwa uzima tulionao. Pili nishukuru kwa jukwaa hili ambalo linatupa fursa ya kutema nyongo zetu kwa usalama. Kwa yeyote kati yetu ambaye ameshawahi...
16 Reactions
69 Replies
3K Views
Ilham Omar na Mumewe mtarajiwa. Mumewe ni Tim, myahudi wa ki-ashkenaz na mfanyabiashara. Soon Israel watakua wana influence somalia
1 Reactions
3 Replies
677 Views
Kila nikiingiza token za umeme inaandika reject umeme hauingii tatizo ni nini?
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wasaalam, Tafadhali ikikupendeza soma maelekezo ya kiambatisho hapa chini SEHEMU YA PILI (b). Kisha tafadhali tenga muda wako usome utoe maoni yako kama ilivyoelekezwa kwenye tangazo...
11 Reactions
36 Replies
1K Views
JF salaam, Ni miaka takribani 17 tangu kituko hiki nikifanye nikiwa O Level kweli bangi inawenyewe. Nikiwa na marafiki zangu watano mi nikiwa 6 kati yao wa3 walikuwa wanakula bangi na darasani...
15 Reactions
26 Replies
3K Views
Nyota wa muziki Nicki Minaj amekamatwa kwenye uwanja wa ndege nchini Uholanzi saa chache kabla ya kutumbuiza katika ukumbi wa Co-op Live jijini Manchester. Rapa huyo wa Marekani, 41, alizuiliwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndivyo unaweza kusema kuwa sasa Chadema wageuka vibweka wa kudeka na kuropoka uongo acha tuwasikilize. Nchi hii Ina wenyewe mtake mistake CCM ndio baba la baba na CCM ndio mama la mama...
2 Reactions
14 Replies
749 Views
Jeshi la Polisi linamshikilia mwanamume kwa tuhuma za kumuua kwa kumnyonga mkazi wa Mtaa wa Maselele, Kata ya Cheyo B Manispaa ya Tabora, Juliana Mbogo (40) kisha mwili wake kuuficha uvunguni mwa...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
IJUE BANGI NA KUIHESHIMU KAMA MTI MTAKATIFU Kutoka kwa kutazama wingu hadi kutafakari hadi kuangaza nguvu za ubunifu, watu wanafurahiya faida nyingi za bangi kwa akili, mwili na roho. Matumizi...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Yaani kuna kitu huwa nashangaa sana utakuta humu mtu anasema vijana wanashinda kuzungumzia mpira hawalipambanii Taifa yaani mtu anaongea kama mwenyewe sio Mtanzania, yaani anamlaumu wenzake wakati...
9 Reactions
58 Replies
1K Views
Licha taarifa ya baadhi ya viongozi wa Serikali ngazi za juu kusisitiza Wanafunzi wa Shule za Serikali wasirejeshwe nyumbani kutokana na kukosa kuchangia michango, hali ni tofauti kwenye ya Shule...
1 Reactions
1 Replies
974 Views
Kuishi kijijini - ukikaa kijijini kufanikiwa maisha kiasi cha kummiliki mali ni ngumu Sana hii ni kwasababu zifuatazo. -Uzinzi -Pombe -Ukosefu wa maarifa. -Kukaa na watu wenye mawazo duni...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…