Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 681
- 924
STORY FUPI
Kuna dogo langu moja amekuja home hapa kama wiki nipo naye leo akasema nifundishe kubeti nikamfundisha aka download Betwinner aka deposit akaandaa odds zake 30 direct win tupu humo 😂😂😂
Haya Games zinaenda Arsenal, Liver, Newcastle wote hao aliwapa walitoa akawa na wenge kinoma la shangwe mi sina habari nacheza inplay.
Sasa Game ya Inter inaendelea alafu aliwapa mpaka dk ya 80 1-1 akawa hana amani.
Inter wamepiga kamba dk ya 80+ kashangilia sana Game ikaongezwa dk 6 dk ya 94 ya nyongeza Genoa wamepata Penalty wanataka kusawazisha.
Eti ananiuliza ukitaka kubadilisha unabadilishia wapi nimemuuliza kubadilisha nini akajibu yani kuwatoa inter kwenye mkeka wangu naona wata draw maana bado dk mbili.
Nimecheka kama Mdwanzi leo sijamjibu ila atakuwa kajiongeza why nimecheka🤣🤣🤣🤣✍️✍️
Betting imemkaribisha mjini mwanachama mpya.😂😂😂🙌🙌🙌