Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Growing up tumekuwa kwenye situations mbalimbali, ambazo hatukuzipenda. Labda ugumu wa maisha ya nyumbani, tabia za ndugu jamaa na marafiki, mifumo ya maisha, uraibu, nk. Wengi wetu tulijiapia...
1 Reactions
1 Replies
378 Views
Salam, Mizim ni ma-spy wa kiroho, wanaowakilisha falme za kiroho kutucolonize. Mizimu hujifungamanisha na koo zetu kwa kujifanya ndugu zetu waliokufa. KAZI ZA MIZIMU 1. Kudumisha utumwa...
2 Reactions
5 Replies
923 Views
WAZIRI CHANA " SERIKALI ITAWALINDA WANANCHI DHIDI YA WANYAMAPORI WAKALI" Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema Serikali itaendelea kuweka mikakati madhubuti...
0 Reactions
1 Replies
415 Views
Kutoka kwenye mtandao wa X, Akaunti ya Lisa Ildephonce (@LIldephoce) “Tarehe 23/1/2023 Tulipata msiba wa dada angu alifariki katika mazingira ya kutatanisha aliolewa na kijana anaitwa Josephat...
8 Reactions
109 Replies
6K Views
Upo kwenye shughuli yeyote inayokunyima uhuru wa kupokea simu Upo kazini busy na kazi kiasi cha kuepuka kupokea simu binafsi kwa sababu ni muda wa kumtumikia mwajiri ukihudumia wateja wake...
40 Reactions
130 Replies
5K Views
Nimebehatika kukaa kama sio kuishi sehemu tofauti tofauti duniani.nimeona na kujifunza kadhaa wa kadhaa jinsi serikali nyingine za ulaya ,marekani,na asia zinavyofanya kwa ajili ya wananchi wake...
0 Reactions
4 Replies
422 Views
Huu mradi watu waliajiriwa kwa mfumo gani na elimu gani? Mbona upo rafu sana, kituo cha msimbazi B watu wamejaa nnje hawawezi kuingia ndani wahusika wameweka mashine 2 tu za kuscan na hazitoshi...
4 Reactions
6 Replies
405 Views
Askofu mkuu wa makanisa ya Methodist,Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu. --- ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala (55), amekutwa amejinyonga...
11 Reactions
75 Replies
9K Views
Nimeonaaa majuzi tbs wanaaswa kuhusu ongezeko la vijana kunywa pombe kupitiliza na kufa gafla. Shidaa sioo kunywa vijana wananyweshwa gongo virobaa kilichobadilika n package tu. Hii kitu...
5 Reactions
3 Replies
499 Views
Taifa lenye wakazi waliochanganyikiwa kuliko wagonjwa walioko Lutindi Korogwe Tanga na Mirembe Dodoma.. Na hawa wote kama si viongozi wa kisasa basi ni watu fulani wenye kaumaarufu fulani.. Sasa...
18 Reactions
59 Replies
2K Views
Jiji hili limedumaza sana ujasiri ,ueledi na uanaume kwa ujumla . Kuna tukio nimekutana nalo nimewaza sana I stand to be corrected labda tukiwasema watabadilika .
2 Reactions
23 Replies
971 Views
Jeshi la Polisi limesema ajali iliyotokea Mbeya Septemba 6, 2024 ilisababishwa na uzembe wa Dereva, Hamduni Nassoro Salum (37) kushindwa kulimudu Gari lake kwenye eneo lenye mteremko na kona kali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi kama Mkristo, moja ya simulizi ni kuwa maandiko katika kitabi cha Bibilia yalianza kwa kuandikwa kwenye ngozi, mawe na mfano ni amrii kumi za Mungu kupitia Nabii Mussa. Tunaambiwa Mungu...
5 Reactions
32 Replies
938 Views
Kama kuna Benki inayo wanyonya wakopaji basi Benki ya NMB inawakausha damu wananchi kisawasawa. Inawezekanaje mtu anakopa milioni 9 analipa milioni 80 ?!!! Huu ni wiza wa mchana kweupe!!!! Huu ni...
9 Reactions
100 Replies
8K Views
Salaam, Vipindi mbalimbali vya harakati za wanawake vinavyorushwa na Televisheni za hapa bongo vinavyoendeshwa na Watangazaji machachari Vina maudhui chonganishi(kwa mtazamo wangu). Yaani Ni...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Anonymous
Habari, Tunaomba mtusaidie kupaza sauti kwenye uonevu unaoendelea kwenye ajira sekretarieti ya Utumishi kwa Umma. Ajira zilizotolewa zimeshaanza kufanyiwa usahili ila kuna changamoto mbalimbali...
2 Reactions
3 Replies
837 Views
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Beijing China. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla, amesema Wizara hiyo ipo tayari kushirikiana na wawekezaji...
1 Reactions
1 Replies
318 Views
Kipindi nakuwa enzi za primary, seko hadi chuo nilikuwa mtazamji bora wa CNN na BBC. Lakini sikujua kuwa vyombo hivi vimekaa kimlengwa zaidi, yani vinakupa habari zile wanaziona wao ndio muhimu...
4 Reactions
55 Replies
1K Views
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imehitimisha mafunzo ya siku tatu kwa watumishi wa wizara hiyo kuhusiana na viashiria hatarishi. Mafunzi hayo yamefanyika jijini Dodoma yakihusisha...
1 Reactions
1 Replies
388 Views
Taasisi ya ustawi wa jamii tunawaomba mrekebishe mtandao wenu kwani haifunguki na hata kufunguka ni kwa shida. Mnawasumbua wanafunzi wanaotaka kusoma katika chuo chenu muache kujiendesha kwa...
1 Reactions
0 Replies
357 Views
Back
Top Bottom