Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wengi walikuwa wanataja majina kama:- •Asha Rose Migiro •Getrude Mongela •Anne makinda Sikuhizi wanataja nani?
1 Reactions
0 Replies
284 Views
Wataalam wa malezi naombeni msaada wenu Na huwa nipo bize kumuwekea katuni na muvi za watoto kwenye flash, nimemnunulia game ya tv (playstation), kwenye tv nimembana aangalie zaidi mpira na...
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Sekretarieti ya Ajira mna tupa tabu ya kuishi na walimu waliomba kazi kila mda oya mtandaoni hakuna jipya, fanyeni kuwaita kwenye hizo interview.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu ushauri wenu ni muhimu Kwa kijana wenu hapa, Mimi ni Mwalimu wa physics na chemistry nipo nkasi-rukwa, form six nilipata division two PCB point 11, nipo kwenye kufundisha Mwaka wa pili Sasa...
10 Reactions
107 Replies
5K Views
Nimeanza kucheza betting ya akili sasa hivi na deal na odds 1.27 mpaka 1.30 halafu mkeka wa accumulation mecchi 4 tu zilete odd ya 2.68 na zaidi na sio single bet mtaji ni laki 2 na natumia...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
MWANANGU ! UKIFIKA UGENINI ZINGATIA MAMBO HAYA ILI UFANIKIWE. Kila mtu kwa sehemu ni lazima kawahi kuwa mgeni au atakuwa mgeni tu siku moja,kuwa mgeni haiepukiki kila mtu ni lazima atapitia...
15 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama kuna vitu vipya vinavyoingia kwenye ubongo wako lazima kuwe na vitu vya zamani vinaondoka mfano: Mtoto aliyezaliwa na kufikia hatua ya kutembea kuna akili mpya ilimjia na kuondoa jumla...
3 Reactions
5 Replies
430 Views
AWESO AONGOZA SAMIA SIMIYU MARATHON, HAMASA KUBWA BARIADI Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso na Mbunge wa Jimbo la Bariadi, Mhe Kundo Mathew ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maji wameshiriki Mbio za...
1 Reactions
4 Replies
274 Views
Huu ni ukweli tu ulio wazi. Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi. Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule. Pia soma: Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa...
12 Reactions
162 Replies
6K Views
Sidhani kama hii ni sawa jamani Kwani haiwezekani kutoa Kadi bure? Au hata iwe elf moja kama za pantoni? Kweli ni busara kuuza Kadi Kwa elf tano? Hiyo Kadi ina mambo gani ya ziada? Wahusika...
10 Reactions
65 Replies
3K Views
Wakuu kwema, nilikuwa naumwa yapata wiki sasa npo ndani. Sasa wakati sijiwezi kitandani kuna documents ilitakiwa nizitume sehemu nikampa wife simu anisaidie kutuma na akafanya hivyo na kule...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Welcome to Zanzibar. Zanzibar is an island of coral origin. It forms coral limestone. Today we look at the eastern coast of the island, where this limestone created a small island that is subject...
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Wakuu nimekuja tu hapa kutia Moyo wapambanaji wote waliokata tamaa. Leo kwa mara ya kwanza nimeamka kutoka kwenye nyumba niliyojenga mimi. Ni miaka 10 ya jasho na damu hatimaye jana nimehamia...
15 Reactions
20 Replies
822 Views
Habarini wana Jf, Katika Nchi yetu ya Tanzania population inazidi kuwa kubwa hasa na takribani miaka 100 ijayo Tanzania inaweza kuwa kwenye top ten ya Nchi zenye population kubwa duniani...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Wanawake wanajua kunitumia pesa kuliko kunitafuta pesa kuliko kuitumia na hapa ndipo mahali AMBAPO MUNGU alifanya mwanaume kulazimika kuwa na mwanamke kwenye maisha yako ila pia KWENYE KUZALIANA...
0 Reactions
4 Replies
276 Views
Habari ndugu zangu Naomba kufahamishwa. Ndoto kuhusu kusafisha choo zinaweza kuwakilisha kitu gani,tafsiri yake ni nini katika ulimwengu wa mwili? Asante.
0 Reactions
2 Replies
465 Views
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni...
13 Reactions
179 Replies
9K Views
Waganga Watafiti wa Tiba Asili wapatao 250 kutoka Afrika wanakutana nchini Tanzania kutembelea Mzimu wa Afrika uliopo Chalinze mkoani Pwani na kutoa huduma za kitabibu bure kwa wagonjwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ebu fikiria kidogo, unafungua macho yako na kujikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa, lakini bado uko nyumbani kwako! Hii sio ndoto wala movie za sci-fi; ni hali halisi inayokuja kupitia...
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Back
Top Bottom