Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taasisi ya ustawi wa jamii tunawaomba mrekebishe mtandao wenu kwani haifunguki na hata kufunguka ni kwa shida. Mnawasumbua wanafunzi wanaotaka kusoma katika chuo chenu muache kujiendesha kwa...
1 Reactions
0 Replies
357 Views
Mtoto mchanga wa wiki mbili aliyechomwa kisu na kisha utumbo kutoka nje na mama yake kuuawa akiwa amelala, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
1. House girl awe na siku moja kila wiki ya kupumzika masaa 24 - Ndani ya nyumba nyingi house girls kageuka roboti anaefanya kazi kila siku alfajiri mpaka usiku. 2. House girl ahusishwe kwenye...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Mama mmoja mkazi wa Kibaha Msangani anaiomba serikali iweze kumsaidia kupata haki ya mtoto wake wa kiume anayesoma darasa la tano baada ya kulawitiwa na rafiki wa baba yake ambaye kwa sasa...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
PUTS na PHTS zote ni salary scales za wahadhiri wa vyuo vya elimu ya juu hapa Tanzania. Naomba kujuzwa virefu vyake na tofauti ya malipo kwa wahadhiri wawili wenye rank sawa mfano; Junior Lecturer...
1 Reactions
13 Replies
48K Views
Wakati vyama na wadau wakianza kujiweka mguu sawa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika baadaye mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kina hakika wa kupata ushindi wa kishindo...
1 Reactions
2 Replies
308 Views
Habari za muda huu wadau, hapa kazini kwetu kuna watu wamekuja wanataka kutupa mikopo kwa riba ndogo sana kiasi kwamba kwa mshahara wangu ninaweza kupata mpaka million 50 kwa miaka mitano. Sasa...
10 Reactions
54 Replies
2K Views
Akili Mnemba ni teknolojia iliyosambaa ulimwenguni ikiwa imerahisisha kazi za binadamu kutokana na kwamba inaweza kufikiri kama binadamu. Lengo la AI ni kuweza kufanya mambo kama vile kutambua...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mwanadada mmoja kutoka india aliyeandika zaidi ya vitabu 16 kwenye story page yake, moja ya hoja aliyoandika ni kuhusu maisha ambapo alisema mtu akiwa hana mpango wa kuweka ratiba kwenye life...
0 Reactions
1 Replies
386 Views
Naomba tu kujuzwa Jaji mkuu mstaafu mh Mohamed Chande Othman ana wadhifa gani huko Umoja wa Mataifa Nimeona akiongea mbele ya Bendera ya UN Ahsanteni Sana 😃
1 Reactions
6 Replies
537 Views
Na NIRC IRINGA MKURUGENZI Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Raymond Mndolwa amewataka wakandarasi wanaojenga mradi wa Umwagiliaji Skimu ya Mkombazi Mkoani Iringa kuongeza kasi ujenzi wa miradi...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Uchawi upo. Jambo la ajabu kwa sasa nimepata kesi zaidi ya tano ndugu kurogana. Yaani kuna moja mama hataki kuona vijana wa kike na wa kiume wa wanatoboa. Ndugu wanafichana mambo na kila mmoja...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Leo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia Mzee wa upako yeye alifika mbali kwa ssa...
13 Reactions
83 Replies
4K Views
WAZIRI BALOZI DKT. PINDI CHANA ATETA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Dunia...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Hbr zenu wandugu, Bila shaka mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku. Pia nawatakia sikukuu njema ya uhuru .9 Desemba. Ndugu zangu mitihani ya maisha ni mingi mno ila pamoja na wingi...
10 Reactions
36 Replies
6K Views
Stadi laini (soft skills) ni ujuzi usio wa kiufundi ambao mtu anamiliki na hutumika katika mawasiliano, kushirikiana na wengine, na kutatua matatizo katika mazingira ya kazi au kijamii. Ni muhimu...
0 Reactions
4 Replies
442 Views
Wana-Jukwaa habari ya muda huu, naomba kufundishwa jinsi ya kupata hati miliki ya nyumba, baada ya kuandikishana kwenye kitongoji husika sasa nahitaji kupata Hati Miliki Natanguliza shukurani.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wasalam ndgu zangu, Naombeni kwanza kudeclare interest kuwa mimi ni mtu ninapenda balance katika kuhukumu historia na utamaduni wa watu. Kumekuwa na ujumla wa mawazo katika kusemea mambo...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
TANAPA yapongezwa kwa hatua zake za kuboresha barabara za Serengeti kwa ufanisi zaidi, hatua ambazo zinaonyesha kujitolea kwake katika kuhakikisha utunzaji wa mazingira na maendeleo ya sekta ya...
1 Reactions
1 Replies
369 Views
Habari zenu wakuu Naomba kufahamishwa kuhusu agencies zilizo chini ya TAMISEMI ukiachana na Halmashauri, Manispaa na Majiji Je , TAMISEMI zina agencies zake zingine ambazo zinasimamia?? Uzi tayari
1 Reactions
12 Replies
514 Views
Back
Top Bottom