Wasalaam
Nijikite moja kwa moja katika mada.
Siku za hivi karibuni nilihudhuria harusi moja, ila kuna jambo likanipa maswali mengi nikasema isiwe kesi wacha nikashirikishe wanajukwaa.
In short...
liberals vs conservatives
waliberal wanaamini katika uhuru wa mtu binafsi, kila mtu ana uhuru wa kufanya kile anachoweza kufanya as long as hawadhuru watu wengine. walibaral wanaamini katika...
Miaka tangu na tangu, binadamu tumekuwa tukitengeneza silaha kubwa zaidi, yenye kasi zaidi na Nia yake ni Moja tu. Maangamizi.
Sasa kufikia 1945 August 6 tuligundua silaha ambayo iliweka mpaka...
Alibaba maisha zaidi ya Watanzania 60, je ni kweli tulichoweza kumsaidia Mtanzania mwenzetu akiuwawa na Watu ambao sio Watanzania ni kurecord video?
Unauma saaana, inatafakarisha saaana, Hivi...
Salaam, Shalom!!
Kuna wimbi linaendelea kujitokeza la vifo tata kuhusu viongozi wa kiroho.
Miezi kadhaa iliyopita, yaliripotiwa matukio ya Padri kukutwa ameuwawa na kutupwa, wengine wakiuwawa...
TECHNICAL REPORT ON MIRACLE CURE PRESCRIBED BY REV. AMBILIKILE MWASUPILE IN SAMUNGE VILLAGE, LOLIONDO, ARUSHA
PREPARED BY
HAMISI M. MALEBO (Dip. Ed (Sc), B.Sc (Hons), M.Sc, PhD)1 &...
Yaani tulishazoea haya mambo Desemba muda wa kufunga mahesabu
Lakini naona kama yameanza mapema jamani
Mimi toka majuzi taarifa ya habari ni vifo na ajali tu
Muda huu kuna ajali Chunya, tutawajuza
Kila mtu anakuomba hela kumbe wewe mwenyewe ni misheni taun coz tangia umemaliza chuo 2016 hadi leo haujapata ajira.
Kila mtu anataka atembee na wewe ili awaoshee wengine.
Wanakuuliza kama...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dereva aitwaye Said Rajab [35] mkazi wa Dar es Salaam aliyekuwa akiendesha Gari yenye namba za usajili T.422 AKF/T.303 APW Scania Lori mali ya Amani...
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya pombe nchini yameongezeka kwa kiasi kikubwa (WHO, 2023) kutokana na sababu kadhaa:
1. Sababu za Kijamii na Kiuchumi Kuongezeka kwa kipato...
Mkubwa wa taarifa za kinakuhusu miradi ya makubaliano na kukosekana na nyenzo za kufuatilia na kupima maendeleo ya ahadi zinazotolewa katika mikutano hii.
Wachambuzi wengi wanaonya kwamba usiri...
Miji mingi Tanzania inakabiliwa na kupoteza ubora,nyumba nyingi zinaonekana kuchakaa hususani paa za nyumba nyingi kuonekana kuwa na kutu. Yawezekana ni bati kutokuwa na bati nyingi kukosa ubora...
Tatizo la wafanyabiashara kupanga bidhaa zao chini kwenye maeneo ya Kariakoo limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara, hususan nyakati za mchana. Eneo la watembea kwa miguu limevamiwa na...
Kumekucha wadau!
Leo nikiwa namsikiliza Aunt Sadaka, Mwanasaikolojia na Mshauri wa masuala ya Malezi, Ndoa na Mahusiano kwenye redio, nikajikuta nakumbuka mambo ya utotoni na vile vipondo...
Habari za kazi, tunaomba utupazie sauti tuweze kufahamu sheria pamoja na utaratibu wa sekretarieti ya ajira utumishi katika mchakato wa usahili
Hivi karibuni 1/09/2024 zilitangazwa ajira za kada...
KUAHIRISHWA KWA TRENI YA ABIRIA YA EXPRESS
Uongozi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) inasikitika kuwatangazia abiria na umma kwa ujumla kuwa treni ya abiria ya Express iliyopangwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.