The latest Commonwealth CMAG statement recognises Tanzania’s productive engagement, cooperation with the Secretary General’s Special Envoy, progress in key areas, political-party engagement and...
Hapa Mungu alikuwa amechoshwa sana na ujinga wa watu.
Zekaria 11:9. ". . . . Atakayekufa na afe! Atakayeangamia na aangamie! Na wale watakaobaki na watafunane wao kwa wao.”
Kuna sehemu hapa Arusha ukitoka kwenye Taa za Sanawari kama unaelekea Moshono kwenye diversion ya service road maarufu kama Waterfront karibu na rafiki Juice Bar, kuna vyuma za kutenganisha...
Wadau habari zenu,
HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia...
Miaka ya nyuma tulikuwa tunajipatia habari mbalimbali kwa kusoma magazeti na kusikiliza taarifa mbalimbali redioni.
Pia taarifa ya habari ilikuwa na nguvu muda ukifika kila mtu anasikiliza...
Kikundi cha Mawaziri cha Jumuiya ya Madola (CMAG) kimeihimiza Serikali ya Tanzania kuongeza juhudi na kasi katika kulinda uhuru wa vyombo vya habari, kuendesha mashauri ya kisheria kwa uwazi, na...
Yaani badala ya wakala kubandika namba za kutolea pesa za mitandao tofauti tofauti, aweke namba moja tu ya wakala na wateja wenye line za mitandao yote waweze kutoa pesa kwa kutumia namba hiyo...
Ndugu wanajamii,
Napenda kushiriki uzoefu wangu na Sharp Financial Limited, inayofanya biashara kwa jina la Flexi Cash, pamoja na changamoto ninazokutana nazo katika kutafuta ufumbuzi kupitia...
Mazingira Mazingira Mazingira
Mazingira safi ni muhimu kwa viumbe hai.
Jukumu la kutunza mazingira ni la kila mmoja wetu. Pia ni jambo la hiari sio la kutumia nguvu.
Mwandishi mmoja wa kitabu...
Kabla sijaenda moja kwa moja kwenye mada husika, tour zinazofuata naomba mzingatie yafuatayo:
Gangster With Matatizo (GWM) waje waimbe – YAMENIKUTA
Big Dog Pose(BDP) waje waimbe – MA-JOB-LESS...
Wazrir mtarajiwa wa vijana na madili mwaka 2040 akiwa filed hapo.
Hii ni mwanafunzi wa Form Four, amebambia mtoto wa form 1 , wa Miaka 14 na haya wamejifunza kwenye nyimbo za Bongo Fleva( Msanii...
Ndiyo, neno "bastard" linamaanisha mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ya kisheria, ingawa pia hutumika kama tusi au neno la dharau katika lugha ya Kiingereza.
Maana ya Asili Neno hili lilitumika...
Kuna maeneo ukienda kupata mtandao inakuwa kipengele sana, mtandao haushiki na ukishika ni kwa kuutafuta mpaka unatamani kulia, kama ni wa kuperuzi sana unashindwa kama ni mtu wa kufanya kazi...
Nina jamaa yangu ambaye mdogo wake ni Mwandishi wa Habari katika chombo cha habari cha mtandaoni (Online TV), anasema kila kunapokuwa na Press Conference ya Mwaipopo, lazima wanahabari wapate...
Hellow wana JF.
Saizi mitandaoni, maredioni na viongozi wa jiji la Dar es salaam kuanzia mkuu wa mkoa, wabunge mpaka balozi wa nyumba kumi wanajifanya kukomalia usafi kwasababu Mh Rais alisema...
Wakuu kuna hii video inako mtandaoni sijajua ni ya lini ila kwa kweli imenihuzunisha sana kwa matendo ya kikatili ambayo wanayapitia hawa Wananchi, na ninadhani huu ni ujumbe mkubwa kwa wenye...
Ni takribani siku ya tano sasa wakazi wa Mbezi Juu, maeneo ya Makonde, Jogoo pamoja na mitaa ya Salasala hatupati huduma ya maji, huku DAWASA ikiwa haijatoa taarifa yoyote kuhusu changamoto...