Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na hawajaishia tu Kuupenda bali wameenda mbali zaidi na kusema kuwa pia unapatikana kwa Gharama nafuu mno. Chanzo Taarifa: BBC Dira ya Dunia hivi punde tu. Ngoja nami sasa nipate Elimu ya Kilimo...
1 Reactions
4 Replies
418 Views
Mara nyingi tunapo elekea uchaguzi mkuu, imekuwa ikidaiwa kuwa "genge la Chadema" huwa wanapanga matukio ya kihalifu maeneo mbalimbali kama vile, kuteka, kuchoma moto, mashambulizi n.k kwa lengo...
2 Reactions
22 Replies
834 Views
Lugha ni moja ya funguo za maisha ukiachana na elimu
4 Reactions
5 Replies
731 Views
Ukizingatia hali yako ya sasa kama ungekuwa na uwezo je ungependa siku zirudi nyuma au ungetaka zisogee mbele chapu au zibaki hapohapo zilipo. Mimi kwakweli zirudi nyuma tu kwakweli tena zirudi...
1 Reactions
15 Replies
459 Views
Nimepita vijiji vingi vya Tanzania , Zambia, Zimbabwe, Malawi, Msumbiji na South Africa hii, Kuna vitu vinafanana sana kasoro vijiji vya South Africa ( baadhi sio vyote ) vimechangamka na kuweeza...
3 Reactions
2 Replies
369 Views
Mwanzoni wakati nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa siamini kabisa haya mambo lakini kadiri nilivyokuwa nakuwa ndio nikaanza kufahamu kuwa kweli uchawi upo, Na mtu akiamua kukuharibia au kukuchafua...
19 Reactions
129 Replies
6K Views
Hivi viumbe vinavoitwa ndugu ni wapumbavu washenzi ndugu wote ni nyoko. Nimepangisha nyumba yangu yenye vyumba 3, sitting room na jiko nimekuja kupanga chumba na sebule. Maamuzi haya nimeyafanya...
82 Reactions
175 Replies
7K Views
"Hivi sasa yameibuka mafundisho ya baadhi ya viongozi wa dini yanayowaaminisha wafuasi wao, kutegemea miujiza Zaidi, ili kupata maendeleo badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa, viongozi hao...
14 Reactions
71 Replies
4K Views
Ni ukweli usio fichika asilimia kubwa kama 90% ya diaspora wanaishi kwa kufanya kazi ambazo ni Unskilled Labour. Wengi wao maisha ni ya kawaida tena ya kuwa busy sana japo wanapenda kupiga picha...
1 Reactions
8 Replies
554 Views
Historia ya Msingi kwa wasio na habari: 1. Kabla ya Israeli, kulikuwa na mamlaka ya Uingereza, sio taifa la Palestina. 2. Kabla ya Mamlaka ya Uingereza, kulikuwa na Ufalme wa Ottoman, sio dola...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za mchana Naomba kujua maziwa mtindi yananenepesha au kukondesha nimeanza kunywa hivi karibuni nataka niwe natumia permanently kila siku. Nataka nijue kama yanakondesha au Lah maana sitaki...
5 Reactions
60 Replies
5K Views
Watu sita wanahofiwa kufa maji, huku mwili mmoja ukiopolewa baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria. Watu hao walikuwa wakitoka kwenye harusi Kijiji cha Mwiruruma...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Umaskini ni fedheha. Umaskini ni jambo la kupambana nalo kufa na kupona. Fanya ufanyavyo usiwe maskini. Umaskini huambatana na mambo mengi sana ya hovyo. Mtu mwenye njaa ana sura mbaya na roho...
4 Reactions
8 Replies
910 Views
Nimetumia huu uwanja Tar 28.03.2024 nikienda Qatar. Nafika Qatar mashine yangu ya Pressure na perfume havimo kwenye bag ambalo nili check in. Aibu sana kwa Kweli.
10 Reactions
60 Replies
5K Views
Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu? Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Ni kijana wa 24yrs old ana miaka 6 sasa hapa Dar es Salaam kumaanisha ameingia jiji hili akiwa 18yrs. Ni kijana ambae anahisi alizaliwa kwa bahati mbaya kwamba ni kama wazazi wake hawakujipanga...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=RYUxjy76CPg Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, Tundu Lissu amesema maandamano yaliyotangaza na Chama hicho kupinga vitendo vya utekaji Nchini yako...
1 Reactions
3 Replies
908 Views
WAZIRI NDUMBARO ATANGAZA FURSA LUKUKI TAMASHA LA TATU LA UTAMADUNI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa, Tamasha la tatu la Utamaduni la Kitaifa Songea...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Jamaa tangu nimfahamu YEYE NI KUWAPONDA TU WANAUME linapokuja suala la mahusiano. Na kwa hili amefanikiwa sana kujipatia UJIKO kwa kina Mama Anyway ninachoamini ni kwamba jamaa mada zake zote...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
HAKUNA TOFAUTI KATI YA WANAWAKE WA MAKUNDI HAYA MAWILI Kwanza nawasalimu;- Bwana Yesu asifiwe/Assalamu Alaykum. Pili naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu kwa kuyataja makundi mawili...
0 Reactions
4 Replies
552 Views
Back
Top Bottom