Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanawake wenye tabia hii huwa mnafikiria nini? Nimekaa sehemu nakusubiri kipenzi changu unakuja na watu zaidi ya wanne unatagemea nini? eti mashosti. Mtakula na kunywa mwaisho wa siku najifanya...
8 Reactions
34 Replies
1K Views
Jeshi letu pendwa limekuwa likishirikiana vizuri na wananchi huko nyuma katika kufanya kazi za jamii mbali mbali Ombi letu kwa jeshi letu tukufu tar 23 najua wengine tunaenda kusakanya hela...
1 Reactions
9 Replies
383 Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Lindi, Mtwara, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia pamoja na Uguja na Pemba yatapata mvua nyepesi...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo tunakuzwa katika misingi ya kujitetea na kukwepa kuwajibika karibu katika kila eneo. Hatujifunzi na hatutaki kukubali kuwa tunapaswa kuwajibika asilimia mia moja juu ya maisha yetu na badala...
19 Reactions
56 Replies
2K Views
Katika harakati za mahusiano kuna changamoto nyingi. Mtu anaweza kukuacha kwa sababu ndogo tu mfano, Huna hela kwa kipindi fulan. Akakimbilia kwa mwingine anayefikiri ni bora zaidi. Tamaa ya mali...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Halafu niwaombe mno Wazee mnaoendesha Magari / Mabasi hebu pangeni Siku muwe mnatoa Elimu kwa Vijana Ok?
6 Reactions
15 Replies
569 Views
Dhana ya mzazi huwa hakosei ndo imesababishwa familia nyingi kuishia katika umasikini wa kutupwa . Ukiona mtu anaenda kinyume na maadili awe mzazi we mwambie ukweli mapema Hakuna laana...
2 Reactions
5 Replies
477 Views
Salaam, Kuna watu ushamba ni life style yao bt wao si washamba ni watu smart. Kuna mtu, nafahamiana nae kitambo, kutokana na life style yake ya kishamba, nilijiaminisha ni bonge la mshamba...
14 Reactions
41 Replies
2K Views
Wazazi wanaogopa kuonekana wazembe Pindi Watoto wao wakipotea Hivyo hadi uswahilini Watoto wanapelekwa Kayumba na Wazazi wao Mungu wa mbinguni Utuhurumie sisi
1 Reactions
1 Replies
195 Views
Siku ya Usalama wa Wagonjwa Duniani ni maadhimisho ya kila mwaka ya tarehe 17 Septemba, iliyoanzishwa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) ili kuongeza uelewa wa kimataifa kuhusu usalama wa...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Mkulima wa Tanzania ni mtu asie thaminiwa kabisa hata kidogo. Hii imefanya kuonekana kilimo hakika tija. Hata umshauri kijana akitoka SUA ajikite kwenye kilimo Bado hata kuelewa. Hapa kitaa kuna...
1 Reactions
6 Replies
739 Views
Nimejaribu kufuatilia michakato ya usajili na uajiri wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama. Kikubwa nilichokigundua ni kwamba mfumo wa uajiri wa JWTZ bado ni wa kizamani sana, jambo ambalo...
1 Reactions
2 Replies
861 Views
Kijiji cha Namalembo kinapatikana kata ya Msikisi wilaya ya Masasi mkoani Mtwara. Shughuli kubwa ya kiuchumi kwenye kijiji cha Namalembo ni Kilimo huku Mahindi na ufuta ikiwa ni mazao yanayolimwa...
13 Reactions
24 Replies
2K Views
Hivi maana halisi ya Dotto na Kulwa ni nini? Au chimbuko lake ni nini? Kwa sababu mimi niliambiwa ni mapacha ambao hawafanani ndio wanaitwa Dotto na Kulwa; au watu wanaofanana je ni kweli?
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana kulisambaa video ikisemekana ni maeneo ya mwz. Wananchi wakilisonga na kuzuia gari kutoondoka na watu waliokamatwa hadi hapo ocs wa pamba aje.
3 Reactions
4 Replies
548 Views
Watu watatu wameuawa, huku mama mwenye nyumba akijeruhiwa na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Segubwawani, Kata Nala jijini Dodoma. Waliouawa ni watoto wawili wa familia moja ambao miili yao...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ee Mungu Baba wa rehema mjaza neema ndogo ndogo na kubwaa unayejibu kwa Moto Ahsante kwa kuwa unajibu sawa sawa na maombi yetu Kamwe hujawahi kushindwa kamwe hujawahi kumwacha mtu wako...
4 Reactions
57 Replies
3K Views
Haya sasa naomba kujua tofauti ya Ukatili na Mauwaji yanayotokea sasa Mikoa ya Dodoma, Dar es Salaam na Kilimanjaro na yale yaliyokuwa yakitokea Mkoa wangu wa Asili (wanakotoka Watu wenye Akili...
2 Reactions
4 Replies
468 Views
Tanzania umaskini umepungua sana. Ukichekesha watu kupitia comedy tayari wewe ni star na siku kadhaa mbele tunakuona airport na begi lako unaenda mkoa. Ukiuuza mazao kijijini lazima uende MKoa...
2 Reactions
3 Replies
275 Views
Ujio wa Starlink utasaidia Safaricom na wenzake kuboresha intaneti – – Mkuu Mpya Mteule wa CAK MKURUGENZI Mkuu mteule wa Mamlaka ya Ushindani Nchini (CAK) David Kemei amewahakikishia Wakenya...
0 Reactions
0 Replies
363 Views
Back
Top Bottom