Siri Isiyosemwa na Wapalestina !

Siri Isiyosemwa na Wapalestina !

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,183
Reaction score
26,553
Historia ya Msingi kwa wasio na habari:

1. Kabla ya Israeli, kulikuwa na mamlaka ya Uingereza, sio taifa la Palestina.

2. Kabla ya Mamlaka ya Uingereza, kulikuwa na Ufalme wa Ottoman, sio dola ya Palestina.

3. Kabla ya Ufalme wa Ottoman, kulikuwa na dola ya Kiislamu ya Wamamluk wa Misri, sio taifa la Palestina.

4. Kabla ya dola ya Kiislamu ya Wamamluk wa Misri, kulikuwa na Dola ya Ayubid-Kurdi, sio dola ya Palestina.

5. Kabla ya Milki ya Ayubid, kulikuwa na Wafranki wa Msalaba na Ufalme wa Kikristo wa Yerusalemu, sio nchi ya Palestina.

6. Kabla ya Ufalme wa Yerusalemu, kulikuwa na dola za Umayyad na Fatimid, sio dola ya Palestina.

7. Kabla ya dola za Umayyad na Fatimid, kulikuwa na dola ya Byzantine, sio dola ya Palestina.

8. Kabla ya Milki ya Byzantini, kulikuwa na Milki ya Sassanid-Persian, si nchi ya Palestina.

9. Kabla ya Milki ya Sassanid-Persian, kulikuwa na Milki ya Byzantine tena, sio nchi ya Palestina.

10. Kabla ya Milki ya Byzantine, kulikuwa na Milki ya Kirumi, sio nchi ya Palestina.

11. Kabla ya Ufalme wa Kirumi, kulikuwa na taifa la Wayahudi la Hasmonean, si taifa la Palestina.

12. Kabla ya serikali ya Kiyahudi ya Wahasmonean, kulikuwa na himaya ya Ugiriki ya Seleucid, si taifa la Palestina.

13. Kabla ya himaya ya Ugiriki ya Seleucid, kulikuwa na himaya ya Alexander the Great, si taifa la Palestina.

14. Kabla ya himaya ya Aleksanda Mkuu, kulikuwa na milki ya Uajemi, si taifa la Palestina.

15. Kabla ya Milki ya Uajemi, kulikuwa na Milki ya Babeli, si nchi ya Palestina.
16. Kabla ya Milki ya Babeli, kulikuwa na falme za Israeli na Yuda, si taifa la Palestina.

17. Kabla ya Ufalme wa Israeli na Yuda, kulikuwa na Ufalme wa Israeli, sio nchi ya Palestina.

18. Kabla ya Ufalme wa Israeli, kulikuwa na utawala wa kitheokrasi wa makabila kumi na mawili ya Israeli, sio taifa la Palestina.

19. Kabla ya utawala wa kitheokrasi wa makabila kumi na mawili ya Israeli, palikuwa na mkusanyiko wa falme huru za miji ya Kanaani, si taifa la Palestina.

Kumekuwa na serikali nyingi huko, lakini kamwe Palestina.
 
There was no Palestinian state. True. But there was Palestine. And Palestinians. Palestinians have an 80% DNA match with the ancient Israelites. Israelis have a 3% match. The majority come from Europe and had converted (Kazars).
 
Mh! Sasa Palestina iliibukaje? ngoja waje!
 
For the sake of discussion tukubali point zako zote ni sahihi, hilo halimaanishi hakukua na watu waliokuwa wanaishi hapo,

Mwana wa mfalme wa Iran alinunua Kilwa na ukanda wote wa Pwani Africa Mashariki leo hii Iran wakija na kusema Tanzania ni yao sababu kabla ya 1964 hakukua na Nchi imayoitwa Tanzania je hoja hii inafanya Wasambaa, wachaga, Wadigo, Wanyakusya, Wasukuma kuwa sio Watanzania?

Majina ya Nchi yanabadilika kila siku, Nchi ni wakazi ambao wanaishi hapo.

Kuna Ushahidi wa kutosha wa Kisayansi na Archeology kwamba wapalestina wa sasa ndio descendant wa Wayahudi wakati wa Yesu, ndio Descendant wa miaka 3000 iliopita etc.

Na kama comment yako ya juu unavyosema Wayahudi (Sio wote bali Ashkenazi) wana Dna ndogo sana ya Kiyahudi.

Palestina, Lebanon, Syria etc kuna makundi ya kale kabisa hata kabla Ya Yesu na Muhammad hawajaja, kama vile Samaritan na mpaka leo yapo, hawa pamoja na wakristo wana Dna kali kabisa ya Wayahudi wa Zamani kushinda kundi lolote ukanda huo.
 
I appreciate your research!
 
Mwenzio Eli Cohen alileta hili andiko.
Na wewe umekuja na utumbo ule ule.
Kiufupi HIZO HIMAYA ZOTE ULIZOTAJA ZILIKUA NA MAKAO MAKUU YAKE NA MIPAKA YAKE.
HAZIKUTOKEA SEHEMU MOJA.
EMBU SOMENI JAMANI NASISITIZA SOMENI MUACHE KUDANGANYA WATU.

Nikupe tu mfano wa himaya tano zinazojulikana.
-Byzantine Constantinople.
-Roman Rome/Nikea.
-Seljuk Konya.
-Persia Konya.
-Ottoman Konya baadae Istanbul (Constantinople ya zamani).
-Mamluk Syria/Alleppo,Egypt na Algeria.
Palestina ilikua huku middle east.
Tena hizo himaya kuna wakati zili exist wakati mmoja zikigombania ukuu.

Sasa wewe unakuja kuleta gazeti na uongo namna hii.
SOMENI BANA MNAKERA KUTULETEA HABARI ZA UONGO NA KUPOTOSHA WATU.
 
There was no Palestinian state. True. But there was Palestine. And Palestinians. Palestinians have an 80% DNA match with the ancient Israelites. Israelis have a 3% match. The majority come from Europe and had converted (Kazars).
Kwahiyo Wapalestina ndiyo Waisrael siyo?!
 
For the sake of discussion tukubali point zako zote ni sahihi, hilo halimaanishi hakukua na watu waliokuwa wanaishi hapo,

Mwana wa mfalme wa Iran alinunua Kilwa na ukanda wote wa Pwani Africa Mashariki leo hii Iran wakija na kusema Tanzania ni yao sababu kabla ya 1964 hakukua na Nchi imayoitwa Tanzania je hoja hii inafanya Wasambaa, wachaga, Wadigo, Wanyakusya, Wasukuma kuwa sio Watanzania?

Majina ya Nchi yanabadilika kila siku, Nchi ni wakazi ambao wanaishi hapo.

Kuna Ushahidi wa kutosha wa Kisayansi na Archeology kwamba wapalestina wa sasa ndio descendant wa Wayahudi wakati wa Yesu, ndio Descendant wa miaka 3000 iliopita etc.

Na kama comment yako ya juu unavyosema Wayahudi (Sio wote bali Ashkenazi) wana Dna ndogo sana ya Kiyahudi.

Palestina, Lebanon, Syria etc kuna makundi ya kale kabisa hata kabla Ya Yesu na Muhammad hawajaja, kama vile Samaritan na mpaka leo yapo, hawa pamoja na wakristo wana Dna kali kabisa ya Wayahudi wa Zamani kushinda kundi lolote ukanda huo.
Kuna Ushahidi wa kutosha wa Kisayansi na Archeology kwamba wapalestina wa sasa ndio descendant wa Wayahudi wakati wa Yesu, ndio Descendant wa miaka 3000 iliopita etc.

Mkuu hebu tupe huo ushahidi!
 
Hii tweet pitia

View: https://x.com/MiroCyo/status/1712258026881921287

Jamaa anajibu maswali mengi unaweza ukamuuliza pia kama una tatizo kwenye hizo studies

F8MrtdnbcAAigu9.png

Hii Table inaelezea kwa Asilimia ngapi group linahusiana na Ancient Israelite Na Makundi mengine.

Samaritan ndio damu yao Haijachanganyika kabisa kwa asilimia 94 bado damu yao ina vimelea vya waisrael wa zamani, hawa jamaa hawaoani nje ya community yao wana matatizo mengi sana ya Ki Afya, wana documentary Al jazeera kama unataka kuwafahamu zaidi.

Wakristo wa Palestine, Lebanon, Syria, Lebanon etc pia wana asilimia kubwa sana ya Israel ya zamani ila pia kwa asilimia ndogo wana damu ya kigiriki.

Waisilamu wa Palestine na joran wana damu kubwa ya Israel ya zamani ila wao badala ya wagiriki wamechanganya na watu weusi wa sub sahara.

Kuna makundi kibao ya jews wa middle East kama Yemenite jews, Iranian jews, Iraq jews etc wote hawa ni descendant wa Israel ya zamani na Dna zao hazina tofauti na wakristo na waisilamu wa hilo eneo.

Njoo sasa jamaa zetu Ashkenazi, hawamo, hao ndio wanaongoza Israel toka miaka ya 40 hadi leo na hao ndio wana Discourage kupima DNA hapo Israel.
 
Ukitumia hicho kigezo, basi na hao wanaojiita Waisrael ndiyo hawastahili kabisa kuwepo kwenye hilo eneo. Maana hakukuwepo na nchi inayoitwa Israel kabla ya mwaka 1948.
 
Historia ya Msingi kwa wasio na habari:

1. Kabla ya Israeli, kulikuwa na mamlaka ya Uingereza, sio taifa la Palestina.

2. Kabla ya Mamlaka ya Uingereza, kulikuwa na Ufalme wa Ottoman, sio dola ya Palestina.

3. Kabla ya Ufalme wa Ottoman, kulikuwa na dola ya Kiislamu ya Wamamluk wa Misri, sio taifa la Palestina.

4. Kabla ya dola ya Kiislamu ya Wamamluk wa Misri, kulikuwa na Dola ya Ayubid-Kurdi, sio dola ya Palestina.

5. Kabla ya Milki ya Ayubid, kulikuwa na Wafranki wa Msalaba na Ufalme wa Kikristo wa Yerusalemu, sio nchi ya Palestina.

6. Kabla ya Ufalme wa Yerusalemu, kulikuwa na dola za Umayyad na Fatimid, sio dola ya Palestina.

7. Kabla ya dola za Umayyad na Fatimid, kulikuwa na dola ya Byzantine, sio dola ya Palestina.

8. Kabla ya Milki ya Byzantini, kulikuwa na Milki ya Sassanid-Persian, si nchi ya Palestina.

9. Kabla ya Milki ya Sassanid-Persian, kulikuwa na Milki ya Byzantine tena, sio nchi ya Palestina.

10. Kabla ya Milki ya Byzantine, kulikuwa na Milki ya Kirumi, sio nchi ya Palestina.

11. Kabla ya Ufalme wa Kirumi, kulikuwa na taifa la Wayahudi la Hasmonean, si taifa la Palestina.

12. Kabla ya serikali ya Kiyahudi ya Wahasmonean, kulikuwa na himaya ya Ugiriki ya Seleucid, si taifa la Palestina.

13. Kabla ya himaya ya Ugiriki ya Seleucid, kulikuwa na himaya ya Alexander the Great, si taifa la Palestina.

14. Kabla ya himaya ya Aleksanda Mkuu, kulikuwa na milki ya Uajemi, si taifa la Palestina.

15. Kabla ya Milki ya Uajemi, kulikuwa na Milki ya Babeli, si nchi ya Palestina.
16. Kabla ya Milki ya Babeli, kulikuwa na falme za Israeli na Yuda, si taifa la Palestina.

17. Kabla ya Ufalme wa Israeli na Yuda, kulikuwa na Ufalme wa Israeli, sio nchi ya Palestina.

18. Kabla ya Ufalme wa Israeli, kulikuwa na utawala wa kitheokrasi wa makabila kumi na mawili ya Israeli, sio taifa la Palestina.

19. Kabla ya utawala wa kitheokrasi wa makabila kumi na mawili ya Israeli, palikuwa na mkusanyiko wa falme huru za miji ya Kanaani, si taifa la Palestina.

Kumekuwa na serikali nyingi huko, lakini kamwe Palestina.
Mkuu kwa muktadha wako huu basi mataifa mengi sana hayakupaswa kuwepo kama USA Canada Tanzania nk nk
 
Back
Top Bottom