Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu Wanajamvi. Nimefuatilia sakata la dada JM kufanyiwa ukatili wa kubakwa na kulawitiwa kwa kundi na vijana watano wanaosemekana wamepewa order na Afande. Kinachonitia mashaka kuhoji...
0 Reactions
3 Replies
364 Views
Wakuu msaada nimemaliza dawa ila panya hawapungui Kuna kiboko nyingine
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Kijana wa kiume una miaka 30 bado unaishi kwenu sikatai lakini huna mbele wa nyuma umekaa tu huna hata godoro na kitanda jua unaenda kufa masikini tu hii ni aibu Kuna vijana wanakaa tu nyumbani...
12 Reactions
111 Replies
12K Views
Nawasalimu kwa jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR. SAMIA SULUHU HASSAN, Kwa heshima na taadhima, napenda kukuandikia ujumbe huu nikiwa na...
1 Reactions
2 Replies
459 Views
Mlio Tanga tuhabarishe tunasikia daladala za kwenda njia ya Pangani Wamegoma kisa barabara mbaya inaharibu magari yao. Ni kweli? Hali ikoje?
0 Reactions
2 Replies
290 Views
Nimeona watu wakishare namna walivyopambana na baadhi ya matukio katika maisha Yao nami nimeona sio mbaya Leo nikaeleza namna nilivyonusurika kifo katika harakati za kutafuta maisha. Mwaka 2007...
37 Reactions
169 Replies
13K Views
Kama umeajiriwa wewe bado ni mtumwa kwahiyo bado hujiamini, kama unajiamini jiajiri mwenyewe.
2 Reactions
5 Replies
371 Views
Muda huu mlima wa morogoro unaungua naiomba serikali iingilie kati mkuu wa mkoa tuma timu ikazime kwakweli inaumiza sana kwasisi wapenda mazingira.
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Amesema katazo la kuoa wake wengi ni propaganda za wazungu ambapo wao wapo tayari wanaume waoane lakini sisi kuoa wake wengi waone kosa. Ameongeza siku ya mwisho mwanaume mmoja atakuwa na wake saba.
12 Reactions
114 Replies
13K Views
Habari zenu Wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Ratiba yangu Ya Muhimu kila Mwisho wa Mwezi ukifika Huwa Nacheki AFYA yangu (Napima na Magonjwa ya zinaa), na Afya ya akili na Vitu...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya wazazi wamekuwa Na nongwa sana hasa pale umri unapoanza kuwatupa mkono. Mzazi, hasa hawa wa kike, anakuwa ni mtu wa malalamiko, usipoangalia vizuri na kulaaniwa utalaaniwa. Kumbuka...
1 Reactions
1 Replies
326 Views
Ni hatari tupu! Ukifika Kibaha Maili Moja njia panda ya kwenda Ofisi za Mkuu wa Mkoa, utaona kuna bustani ya miche ya miti na maua mbalimbali, pembeni yake kuna boda boda, ukifika walipo bodaboda...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Haya ndio Maisha yetu watu wa Kibaha Maili Moja, hii ni sehemu tu ya mfano mdogo jinsi changamoto ya Barabara ilivyo hasa mvua zinaponyesha. Watu wameshapiga kelele sana kuhusu hii Barabara...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Alama ya pengo la kijinsia duniani kwa mwaka 2024 ni 68.5%, ikiwa maana 31.5% ya pengo hilo bado halijashughulikiwa. Maendeleo yamekuwa polepole sana, na kuboreshwa kwa asilimia 0.1% tu kutoka...
0 Reactions
2 Replies
415 Views
Nimepita vijiwe kadhaa hapa nimechunguza kisha nikaona pikipiki nyingi ni boxer ikabidi niulize wadau hapa majibu yao ni kua TVS humpakii mtu haya maeneo TVS nenda mbeya au dsm. Lakini hakunitajia...
2 Reactions
5 Replies
613 Views
Wapendwa naombeni msaada nimenunua jiko la umeme sasa kwenye kujaribu naona linatoa moshi chini Je hii ni kawaida?
0 Reactions
7 Replies
815 Views
Ni wazi kwamba Rais nchi imemshinda. Ile hotuba yake ya kwamba amejigeuza chura kiziwi sasa naanza kuielewa. Ni kwamba hatokaa asikilize kelele za aina yoyote. Kama kiongozi ukiziba masikio...
21 Reactions
43 Replies
2K Views
Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Alhaji Dkt. Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya...
5 Reactions
60 Replies
2K Views
Kwa Niaba ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii (C H Ws) BUKOBA MANISPAA, MKOA KAGERA. Tunawashukuru sana Uongozi wa JamiiForums . Baada ya kuripoti changamoto yetu February 2024 ya madai Ya posho...
2 Reactions
0 Replies
727 Views
Inakuaje vyuo vyote Tanzania kasoro vyuo vi chache ma lecturers ku-lecture kwa kutumia lugha ya kiswahili through out the lecture period, ila akitunga mitihani ni kiingereza kigumu cha misamiati...
11 Reactions
61 Replies
3K Views
Back
Top Bottom