Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa ambao hamuijui Mayotte kama mimi ni kuwa Mayotte ipo Comoros ila inamilikiwa na Ufaransa na Rais wao ni Emmanuel Macron. Kwahiyo mimi hapa Tanzania kila siku nawaza kuhama tuu niende mamtoni...
11 Reactions
129 Replies
24K Views
#HABARI Mtoto Rwegasila Jackson (14) mkazi wa wilaya ya Muleba mkoani Kagera anahofiwa kufa maji baada ya kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati akiogelea na wenzake kwenye fukwe za Gymkana Manispaa...
1 Reactions
4 Replies
382 Views
Wakuu salama! Ingawa hii forum ni ya kila mtu, lakini ni moja ya jukwaa kubwa sana la kiswahili Africa na Dunia kwa ujumla. Ni forum ambayo kuna watu wa maana sana, kuna wasomi na watu wenye...
14 Reactions
34 Replies
2K Views
GRAPHS ZA MAISHA: KUPANDA, KUSHUKA NA KÛWA UNIFORM Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maisha ni hesabu ya 📉 📈 Graph. Maisha ni safari. Katika safari kûna nyakati, mazîngira, na wahusika àmbao...
9 Reactions
10 Replies
959 Views
Wanafunzi wanaosoma Shule ya Msingi Oysterbay, iliyopo Wilaya ya Babati Mkoa Manyara wapo hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kama Kipindupindu kutokana uchafu uliozagaa pembezoni mwa Shule hiyo...
0 Reactions
9 Replies
566 Views
Mtu akisha kosa aibu anaweza fanya au ongea jambo lolote lile. 1. Ilikuwa ni aibu kwa wazazi kuozesha binti yao na akawa sio bikra, now si aibu. 2. Ilikuwa ni aibu mtoto kuzalia nyumbani bila...
9 Reactions
27 Replies
954 Views
Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya...
33 Reactions
182 Replies
27K Views
Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na siô kwa mama au bibi fulani. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako...
25 Reactions
211 Replies
6K Views
Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya...
28 Reactions
89 Replies
5K Views
Jeshi la Polisi Tanzania limemuita Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika kufika katika Ofisi ya Upelelezi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa ajili ya mahojiano...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Kijijini kwetu ukienda mashineni kusaga unga wa sembe, unarudi na dona, mtama au unga wa mhogo. Yaani sembe yote inamezwa(unajichanganya na huo unga wa mtama) Kijijini kwetu ukitaka kujenga...
7 Reactions
13 Replies
652 Views
My Take Kiukweli Utapeli wa Dini Za Wazungu na Waarabu Huwa unanipa Raha sana ya Kicheko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂👇👇 https://twitter.com/zoomafrika1/status/1828132965932786005?t=N7i4nl8cxrSGmancTJ2HAg&s=19
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Huduma ya kujitenga kwa muda ama moja kwa moja (temporary self exclusion or permanent self exclusion) kwenye makampuni ya michezo ya kubashiri (online) haipaswi kuwa ni huduma ya hiari kwa watoa...
1 Reactions
2 Replies
463 Views
Dar es Salaam, Septemba 10, 2024 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 1,815 za dawa za kulevya aina ya skanka katika operesheni iliyofanyika tarehe 28...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna nini Dodoma? Mbona taarifa za Watu Kuuawa tena Zaidi ya Mmoja Kwa wakati Mmoja zimekuwa zikifululiza? Nimeogopa sana 🐼
0 Reactions
4 Replies
507 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa Kilometa tatu linalojengwa kuunganisha barabara kuu ya...
0 Reactions
0 Replies
530 Views
Taarifa ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ya kulaani mauaji ya watu Watatu wa familia moja huko Dodoma imesema, hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko kubwa la matukio ya kikatili...
0 Reactions
1 Replies
516 Views
Tunatumia muda mwingi kwenye simu zetu za mkononi, iwe ni kwa kutuma ujumbe, kupitia mitandao ya kijamii, kuangalia barua pepe au kufuatilia habari mpya. Kwa kawaida tunazima simu zetu pale tu...
3 Reactions
0 Replies
665 Views
Hi everybody, Hope mnaendelea poa na majukumu ya kulisongesha gurudumu la maisha, Mie naomba tu kuuliza maana hii hali huwa inajitokeza sana endapo nikikaa the same place for months, najipata i...
19 Reactions
199 Replies
15K Views
Habari zenu Wanajamvi. Nimefuatilia sakata la dada JM kufanyiwa ukatili wa kubakwa na kulawitiwa kwa kundi na vijana watano wanaosemekana wamepewa order na Afande. Kinachonitia mashaka kuhoji...
0 Reactions
3 Replies
364 Views
Back
Top Bottom