Ni jambo gani muhimu huwa unalifanya kila mwisho wa Mwezi ukifika?

Mycojkhan

JF-Expert Member
Jul 12, 2024
803
1,498
Habari zenu Wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.

Ratiba yangu Ya Muhimu kila Mwisho wa Mwezi ukifika Huwa Nacheki AFYA yangu (Napima na Magonjwa ya zinaa), na Afya ya akili na Vitu ambavyo ni Toxi kwenye Mwili wangu.

Kwangu Mimi Kila Mwisho wa Mwezi ukifika Na dili sana na Afya yangu .

Je, wewe huwa unadili na jambo gani Muhimu kila Mwisho wa Mwezi??
 
Habari zenu Wakuu ,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.

Ratiba yangu Ya Muhimu kila Mwisho wa
Mwezi ukifika Huwa Nacheki AFYA yangu (Napima na Magonjwa ya zinaa ),Na Afya ya akili na Vitu ambavyo ni Toxi kwenye Mwili wangu.

Kwangu Mimi Kila Mwisho wa Mwezi ukifika Na dili sana na Afya yangu .

Je wewe Huwa unadili na jambo gani Muhimu kila Mwisho wa Mwezi??
............. kupokea mshahara
 
Habari zenu Wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.

Ratiba yangu Ya Muhimu kila Mwisho wa Mwezi ukifika Huwa Nacheki AFYA yangu (Napima na Magonjwa ya zinaa), na Afya ya akili na Vitu ambavyo ni Toxi kwenye Mwili wangu.

Kwangu Mimi Kila Mwisho wa Mwezi ukifika Na dili sana na Afya yangu .

Je, wewe huwa unadili na jambo gani Muhimu kila Mwisho wa Mwezi??
Kupima afya ya akili, maana kwa uongozi tulionao ukizubaa kidogo lazima upate changamoto ya afya ya akili
 
Back
Top Bottom