Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Logistics zote kwa baadhi yao zimekamilika, ikiwa ni pamoja na pasi maalumu za kusafiria, na wengi wao wamefadhiliwa na taasisi za kitaifa na kimataifa, kwa usaidizi wa baadhi ya wawakilishi wa...
5 Reactions
71 Replies
2K Views
💼 MHADHARA WA 12 Mwanangu eeh! Mara moja moja ukishika hata shilingi elfu 30 nenda katembelee hoteli ya kifahari au maeneo mengine ya kifahari. Fika hoteli ya kifahari agiza glasi moja ya juice...
12 Reactions
19 Replies
558 Views
Tufahamishane hapa mambo ya kuzingatia pale unapoibiwa simu. Ikumbukwe hakuna mtu yeyote anayejiandaa kuibiwa. Wizi hutokea pasipo hata kujiandaa. Wengi wetu huhosi kuchanganyikiwa. Sasa ni nini...
3 Reactions
14 Replies
685 Views
Johannesburg, Afrika Kusini, tarehe 19 Septemba 2024, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kupitia Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) imepokea tuzo ya kuwa Kiwanja chenye Ubora wa...
2 Reactions
4 Replies
591 Views
Leo nitafundisha baadhi ya haki zako raia mbele ya polisi Polisi ni chombo cha serikali kipo cha ajili ya kulinda raia na mali zao Kimsingi polisi wanatakiwa kuwa rafiki wa Raia ili kushirikiana...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, DK Abdallah Possy aitaka timu ya Simba Sc kutotumia kigezo cha Ugonjwa wa Korona kutaka ubingwa, na hivyo kuwataka waache uoga ili wamalizie ligi a
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwanza nichukue muda huu kuomba radhi wasomaji wote wa Jamii Forums jana tarehe 19/9/2024 kwa kuandika taarifa ya upotoshaji kuhusu Mbowe kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe...
21 Reactions
97 Replies
4K Views
Halotel Tanzania ina zaidi ya miaka 8 katika utoaji wa huduma ya mawasiliano nchini lakini inashangaza kuna mambo madogo madogo tu wanashindwa kuyaweka sawa ili kuiboresha huduma yao kimawasiliano...
1 Reactions
10 Replies
915 Views
Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 18, wakiwemo dereva, kondakta na abiria 16, kwa tuhuma za kumpiga askari wa usalama barabarani aliyekuwa akikagua gari walilokuwa wamepanda. Tukio...
20 Reactions
138 Replies
8K Views
Ligi Ya mabingwa Barani Africa kuendelea Leo Tena ambapo Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano hiyo YANGA SC watashuka dimbani majira Ya saa 2 usiku dhidi ya CBE ya Ethiopia. Mkondo wa...
2 Reactions
2 Replies
520 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimekuja na mada kama ifuatavyo Mabaraza ya Makadinali wa Kanisa Katoliki kwenye Mtaguso wa Roma (382) na Trento (1546) walisimamia mchakato wa kuchambua, kupangilia...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Mimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid. Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?
18 Reactions
259 Replies
20K Views
Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu Wanasema Mimba Na Mtoto Ni mali ya Serikali Lakini Kwanzia Ujauzito Na Mtoto Unahudumia Wewe Sasa Kwanini Kama Mtoto Ni mali ya...
3 Reactions
3 Replies
429 Views
Ile siku Imewadia! Bado saa chache kwenda kuwajua washindi walioibuka kidedea katika Msimu wa Nne wa Stories of Change 2024 Kupitia Maandiko yao, Mwaka huu (2024) Washiriki wameonesha ujuzi...
4 Reactions
5 Replies
847 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Njombe, leo Septemba 21, 2024 ikiwa ni siku ya pili. Prof...
1 Reactions
2 Replies
491 Views
Kampuni ya Multichoice inayomiliki visimbuzi maarufu vya DSTV imelamba hasara ya Tshs bilioni 122 kwa miezi sita iliyoishia Septemba mwaka jana sababu kuu ikiwa kupungua kwa wateja wake huku...
47 Reactions
231 Replies
41K Views
Tofauti ya matumizi ya umeme baina ya Mikoa ni kiashiria mojawapo Cha maendeleo hususani ya viwanda,migodi na shughuli za Uchumi na Biashara. Hii ndio Mikoa 11 inayoongoza Kwa kutumia umeme...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga ameagiza kuchukuliwa hatua kwa baadhi ya Walimu wanaodaiwa kuchukua rushwa na kuwaandikia mahudhurio ya uongo Wanafunzi 48 wa kike waliobainika kuwa na...
2 Reactions
21 Replies
790 Views
Mzuka wanajamvi! Jamani tujivunieni kiswahili chetu. Ni lugha nzuri tamu kuongea kuliko lugha zote. Leo nimekutana na m Vietnam hajui kiingereza nilipomuongelesha akanijibu emahuuuu yashoodhaa...
6 Reactions
17 Replies
675 Views
Serikali wakiweza kulitizama hili basi watoe msaada kwa dada zetu hili tatizo limekuwa kubwa sana, Ukiweza fanya uchunguzi. Nahisihi serikali kwanini... kwasabau elimu hii ya jinsi ya mwanamke...
2 Reactions
7 Replies
699 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…