Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna kipindi nilikwenda nje ya Afrika na kuishi huko kama miaka 4 hivi na kidogo. Mwnyeji wetu alichukua muda wake kutueleza mambo ya msingi sana ya kuzingatia katika taasisi ile, mji ule na nchi...
2 Reactions
4 Replies
650 Views
Habari zenu wakuu. Miaka kadhaa nilinunua kiwanja kikiwa kina njia 2 za kupita gari. Baada ya muda akauziwa mtu na kujenga uzio njia moja ikafa ilabaki moja. Njia iliyobaki nasikia napo panataka...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye...
7 Reactions
58 Replies
2K Views
Leo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
5 Reactions
29 Replies
1K Views
TAARIFA YA KUPINGA KUFUNGIWA KWA CHOMBO CHA HABARI CHA MWANANCHI DIGITAL Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania, (UTPC) unapinga vikali kitendo cha Serikali, kupitia Mamlaka ya...
2 Reactions
4 Replies
733 Views
💼 MHADHARA WA 6. Habari ya leo wanaJF... Kwenye mhadhara huu naomba kuzungumzia tabia ya wanaume wengi (wazawa) wa mikoa ya DAR ES SALAAM, LINDI, MTWARA, TANGA, PWANI na hata kule ZANZIBAR ambao...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika universe nimegundua Binadamu yupo na nguvu za uumbaji wa vitu katika MAISHA yake. Mwezi uliopita nili-Apply sheria mojawapo ya Ulimwengu inaitwa law of Attraction( Nguvu ya mvutano ...
28 Reactions
65 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hizo ni tetesi kutokea pande za mbezi Beach - africana Yasemekana new tiger hotel/bar iliyopo hapo africana tayari imeuzwa Mnunuzi yadaiwa ni mama mmoja tajiri wa kihaya...
13 Reactions
83 Replies
8K Views
Sujui niwekeje swali. Leo Dar mvua kidogo tu, joto limeshuka 26 degrees watu wanatembea na masweta kama wabibi. Sasa nikaona niangalie na uko Njombe, nakutana na 13 degrees. Yaani inakuaje...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Amani ya bwana iwe juu yenu waungwana. Kama kichwa cha habari kinavyojielezq,nina kijana wangu yupo kidato cha kwanza shule binafsi iliyopo Pongwe-Tanga,alihitimu elimu ya msingi Dar es salaam na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
1. Israel alitumia majini(viumbe vya ajabu) kum-locate Nasrallah (aliyekuwa kiongozi mkuu wa Hizbollah) Kama hujui "genies" ni viumbe gani, just search kweny Google au angalia movie ya disney ya...
1 Reactions
2 Replies
468 Views
Naomba kuwasilisha kero ya barabara hii ambayo kwa zabuni namba AE/092/2022/2023/DSM/W/04 iliyotangazwa Mei 2022 ilitangazwa kufanyiwa maboresho cha kushangaza baada ya maboresho hayo barabara...
0 Reactions
1 Replies
338 Views
Salaam Leo katika pita pita zangu ndio nikaona jiko yale sijui ma oven makubwa wanapikikia keki. Yaani hadi kichefu chefu, anayepika mchafu, jiko halijaoshwa kama mwezi hv, hapo anapopikia watu...
2 Reactions
15 Replies
839 Views
Tigo Tanzania wanatakiwa kujibu tashwshi za Wateja Wao Wanahoji ni kwa nini Wanakata Bando 20 Au 30 katika kila awamu ya manunuzi yake. Je, ni hii ni tashwishi yake tu au ni pamoja na wateja...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
DIGITAL SECURITY: FUATILIA TAARIFA ZAKO KUJILINDA MTANDAONI Jinsi ya Kuweka Arifa za Google ('Google Alerts') Ili Kufuata Jina Lako au Taarifa Zako Zinapowekwa Mtandaoni: 1. Tembelea 'search...
4 Reactions
6 Replies
826 Views
Nimesikia ama kuchunguza kua mara nyingi ukiropoka kwa watu mipango yako inaanza kusua sua na hatimae Kufeli mazima. Tafadhali wabobezi wa masuala ya kiroho naomba hapa ufafanuzi. Kuna mstari...
13 Reactions
79 Replies
3K Views
Wapendwa nawatisha la hasha nawaweka haya kukusaidia wewe unaekaribia kuoa ndoa ni taasisi kama taasisi zingine unapoingia jifunze kwanza kukoje je faida na hasara ni zipi Kwanza nitaweza...
1 Reactions
4 Replies
566 Views
Jamani wataalam au mtu anayejua hili tatizo la Kujaa Kwa mate mdomo wakati wa kuamka asubuhi, tena haya mate Huwa yanatoa harufu mbaya mno, muda mwingine hata mchana tu nikilala sana, nikiamka tu...
2 Reactions
61 Replies
10K Views
Huenda sipo peke yangu hivyo labda maada hii inaweza kuwagusa na wengine watakaoamua kujifunza kutoka kwa wanachama wengine. Mwaka 2017, rasmi nilikabidhiwa urithi wa marehemu baba yangu ambaye...
2 Reactions
10 Replies
568 Views
Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao. Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako...
3 Reactions
17 Replies
854 Views
Back
Top Bottom