Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwili wa Mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
Uchaguzi wa serikali za mitaa upo jirani sana, Wagombea kutokea vyama mbalimbali wameanza kujipanga ili waweze kupata ridhaa ya vyama vyao. Sambamba na hilo pia uchaguzi mkuu ni hapo mwakani tu...
1 Reactions
0 Replies
452 Views
Ukifungua biashara ukienda TRA ili wakokotoe kiasi cha kodi unachopaswa kulipa lazima wakuulize umepanga frem ya bei gan, Ile thaman ya frem kwa mwaka wanakokotoa asilimia ambazo ndio kodi ambayo...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
TRC wameanza vyema na wasikatishwe tamaa kuhusu taratibu zao. Hii standard waliyo-set waendelee kuiboresha zaidi iwe ya hali ya juu zaidi. Bei za Vyakula na vinywaji warudishe kwenye bei halisia...
1 Reactions
5 Replies
469 Views
Wakuu kwema? Kuna suala hapa nimeiona vyema kuwashirikisha. Katika wakati huu tulionao sasa, ni mambo Gani ya muhimu unaweza kumshauri kijana kati ya miaka 20-25 hasa hasa Yale unayoona yalikuwa...
1 Reactions
8 Replies
595 Views
  • Poll Poll
Life La Dsm linafurahisha sana mshahara unaishia "kwenye malazi na makadhi" hapo hatujaweka mavazi😂hapo bado mupenzi hajaomba chochote kitu
1 Reactions
6 Replies
401 Views
Wakuu kwema. Hili suala ni la kawaida likitokea mara moja ila likijirudia rudia tunapata wasiwasi. Imetokea kwa siku tano hadi leo navyotype kwamba nikipanda daladala konda haniombi nauli namimi...
1 Reactions
36 Replies
1K Views
Mhashamu Stephano Musomba OSA Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amesema ya kuwa tukumbuke nafasi zetu katika jamii na sio kupenda kusifia hovyo kwani kufanya hivyo ni kuumiza wengine...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Wizara ya Afya kupitia Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma imesisitiza juu ya umuhimu wa taarifa sahihi katika nyakati ambapo yanaibuka magonjwa mbalimbali ya milipuko nchini. Akizungumza leo...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum Dkt. Dorothy O. Gwajima. Ametoa ahadi kwa kijana Edward Futakamba kupitia Wizara watampa tuzo ya Mwanaume bora ili...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Takriban watu 78 wamefariki dunia, baada ya Meli kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapo jana. Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini Jean Jacques Purisi...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Hali ya ulinzi na usalama Mkoa wa Ruvuma ni shwari, na ushwari huu umetokana na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Jeshi la Polisi na Wananchi kuhakikisha jamii na mkoa kwa ujumla unaendelea kuwa...
0 Reactions
0 Replies
378 Views
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko atazindua Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini Geita yaliyoanza Oktoba 2, 2024 kwenye viwanja vya...
0 Reactions
0 Replies
491 Views
Ikiwa ni mkakati wa kujenga uelewa kwa wadau wa madini kuhusu utekelezaji wa kifungu cha 59 cha Sheria ya Madini Sura 123, leo Oktoba 04, 2024 Wizara ya Madini imeratibu mkutano wa wachimbaji na...
0 Reactions
0 Replies
384 Views
Wakuu habari Nauza mayai ya kisasa Kwa bei ya jumla . Napatikana , dar es salaam kigamboni, hata ukiwa mkoani naweza kukutumia mzigo na unafika salama kabisa Kama upo dar , nafanya free...
4 Reactions
1 Replies
650 Views
Kuna kipindi nilikwenda nje ya Afrika na kuishi huko kama miaka 4 hivi na kidogo. Mwnyeji wetu alichukua muda wake kutueleza mambo ya msingi sana ya kuzingatia katika taasisi ile, mji ule na nchi...
2 Reactions
4 Replies
650 Views
Habari zenu wakuu. Miaka kadhaa nilinunua kiwanja kikiwa kina njia 2 za kupita gari. Baada ya muda akauziwa mtu na kujenga uzio njia moja ikafa ilabaki moja. Njia iliyobaki nasikia napo panataka...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye...
7 Reactions
58 Replies
2K Views
Leo hii ziwa Nyasa (Sumbi) kumechufuka ni balaa! Ziwa halisafiriki! Mawimbi ni makumbwa sana. Hakuna chombo kuingia ziwani ni hatari hata kukaa pwani ya ziwa, mbona TMA hamkuweza kututaarifu mapema.
5 Reactions
29 Replies
1K Views
TAARIFA YA KUPINGA KUFUNGIWA KWA CHOMBO CHA HABARI CHA MWANANCHI DIGITAL Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania, (UTPC) unapinga vikali kitendo cha Serikali, kupitia Mamlaka ya...
2 Reactions
4 Replies
733 Views
Back
Top Bottom