Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tanganyika Law Society (TLS) imeandaa kongamano la kitaifa litakalojadili ongezeko la matukio ya watu kupotea na kutekwa nchini Tanzania. Kongamano hili litafanyika tarehe 5 Oktoba 2024 saa 3:00...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna mjadala ulioanzishwa hapa kuhusu nabii mmoja anayehusishwa na kutoa zaidi ya magari 10 ya kifahari kumsaidia mwanasiasa fulani kufanikisha tamasha. Mjadala huu umeibua maswali mengi, huku...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Wasalaam.Kumekua na tabia siku hizi hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha kwa njia tofauti na kisomo kuwabeza waliosoma kwamba si chochote. Mfano kuna mtu anaitwa Dotto Magari na Mbunge Msukuma...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kusambaza Umeme kwenye Vitongoji 166 vilivyopo Mkoa wa Morogoro baada ya kukamilisha nishati hiyo kwenye Vijiji 652 kati ya 669 sawa na...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
TANZANIA NA KENYA KUSHIRIKIANA ZAIDI SEKTA ZA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO Tanzania na Kenya zimekubaliana kuanzisha michezo ya kirafiki kwa Shule za Msingi na Sekondari ili kuibua, kutangaza na...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
Baada ya Mchungaji Mch. Abiud Misholi Kutamka adharani kwamba ni Ushetani mkubwa Mlokole kushabikia mpira Mwimbaji wa nyimbo za injili na SHABIKI mkubwa wa Yanga African @Ann_annie kafunguka ya...
5 Reactions
144 Replies
4K Views
Kenya katika kundi la vijan 10 6 wanajua sheria na katiba ya nchi hata Kama elimu Yao ni high School 2 wanajua kuhusu IT 1-2 wana elimu haswa LAKINI TANZANIA Katika vijana 10, 8 ni mashabiki...
17 Reactions
44 Replies
1K Views
Utangulizi Mara ya Kwanza mkristo unapopata Neema ya kuhokoka , Roho Mtakatifu anaingia ndani yako na pale anapoingia ndani yako kuna kiu ya kutaka kumjua Mungu Sana inaingia ndani yako Unakuwa...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna hii hali usiku usingizi ukikata naanza kufikiria stori kuhusu mimi endapo ningekuwaga na nguvu za ziada na utajiri mkubwa na uongozi vile ningefanya mambo yangu. Wakati mwingine stori...
6 Reactions
7 Replies
508 Views
WAKUU WA HIFADHI WATAKIWA KUELIMISHA WANANCHI JUU YA UHIFADHI Na Happiness Shayo-TABORA Wakuu wa Hifadhi nchini wametakiwa kuelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa uhifadhi kwa lengo la...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Mhadhara - 36: Hakuna kitu ambacho kinaweza kumridhisha au kumtosheleza mwanadamu wakati wote. Si pesa wala kitu chochote cha thamani. Kitu pekee anachoridhika nacho mwanadamu ni kifo chake...
2 Reactions
3 Replies
346 Views
Watu wawili ambao ni mke na mume wamefariki dunia baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe kisha naye kujiua katika Kijiji cha Njirii Halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni Mkoani Singida huku chanzo...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Katika kujadili tofauti kati ya Kenya na Tanzania, ni muhimu kuangazia masuala ya elimu na uwezo wa kufikiri. Kenya imejijengea sifa ya kuwa na mfumo mzuri wa elimu ambao unachochea ubunifu na...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Huyu ndiye Dada Jonais (Mzaliwa wa Mwika Kilimanjaro) aliyekutwa ameuwawa msituni huko Korogwe, na pembeni ni mtoto wake ambaye pia alichomwa moto kwenye tukio hilo hilo. Kwenye kadhia hiyo pia...
7 Reactions
51 Replies
3K Views
Mhadhara - 35: Unamkuta mtu tangu amezaliwa ameishi maisha magumu, ugumu wa maisha umemtafuna kwa miaka 50. Anaanza kufanikiwa (kushika pesa) akiwa na miaka 51 baada ya kuuza shamba lake la miti...
1 Reactions
14 Replies
942 Views
Vita kati ya kina lazaro (aka TRA) na wafanyabiashara imefika pabaya. Leo tumeshihudia maduka yakiwa yamefungwa palę Kariakoo. Huenda kweli kuna wafanyabiashara ambao wanakwepa ushuru, ila sasa...
1 Reactions
2 Replies
602 Views
Nilitegemea Simba watapata ushindi tena mnono kulingana na status za timu zote mbili ni kama mbingu na ardhi, Leo Simba wamenikera sana, mbaya zaidi wamenichania mkeka, nimekwazika mno. Hata...
3 Reactions
18 Replies
910 Views
Voda tuambieni kwa nn mtandao wenu unasuasua siku hizi au mmezidiwa na wateja Huku kwetu Mbeya. Huu sio uungwana...... Boresheni huduma kwa wateja.
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Anonymous
Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na changamoto ya mtandao wa Halotel hasa internet na mawasiliano ya kawaida, lakini kibaya zaidi kampuni haitoi ushirikiano kwa wateja wake na ukiangalia kila mteja...
1 Reactions
0 Replies
474 Views
Sera ya kukataa ndoa isibakie kwenu tu ila pia mkatae na ndoa za wengine ili msiziingilie. Tofauti na hapo mnakuwa tu kama kikundi cha vijana matapeli mjini. Maana kutokana na historia ya...
9 Reactions
64 Replies
2K Views
Back
Top Bottom