Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo Kawe watu wanamwagika, nimeambiwa wamekuja kwenye maombezi ya Mwamposa na kukanyaga mafuta na watu leo watapona na kesi zote kwenye maisha yao zitakwisha. Kilichonishangaza ni kipengele cha...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Naona website ya ndege yetu "The Wings Of Kilimanjaro" haifunguki hivyo mtu hawezi kufanya booking; Msaada tafadhali?
2 Reactions
5 Replies
464 Views
Katika mjadala wa utofauti wa elimu nchini Tanzania, kuna dhahiri kwamba safari ya Baba Levo Marekani inaonyesha tofauti kubwa kati ya wasomi na wale wasio na elimu rasmi. Baba Levo anatumia mbinu...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Kuna video inasambaa inayodaiwa ni ya mtu mmoja alieua na kisha nae kuamua kujichinja. Mtu huyo pia anadaiwa kuwa alikuwa anatengeneza vinywaji feki na kuviuza kabla ya mambo kuharibika baada ya...
2 Reactions
10 Replies
868 Views
Kuna maeneo katika Jiji la Dar es Salaam unakutana na foleni lakini ukifuatilia kwa umakini kuna wakati unagundua kuna uzembe wa uwajibikaji na kukosekana kwa ubunifu kwa baadhi ya watendaji...
1 Reactions
1 Replies
401 Views
Wiki iliyopita nilisafiri kwenda Songea na gari yangu aina ya noah kutokea DSM, nilivyokuwa narudi nikaona nisanye abiria wanichangie mafuta. Sasa nimetoka Songea mpaka Iringa bila matatizo yoyote...
15 Reactions
86 Replies
15K Views
Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa wakuu kuna Ofisi nimeenda Ofisi ya Mkuu wa Mkoa muda wa kazi watumishi wa Ofisi husiku wote hawapo, hii imekaaje? Nimeondoka bila kupata huduma yoyote nimepoteza muda na pesa...
0 Reactions
7 Replies
829 Views
Benki kupitia mashine zao za ATM wamekuwa na ukomo wa kiwango cha kutoa pesa. Kutoa kwa mara moja kiwango cha juu ni Laki nne. Yaani kutoa Milioni moja mpaka uweke kadi mara 3 huu ni upotevu wa...
19 Reactions
83 Replies
5K Views
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Victoria Kwakwa, amesafiri kwa njia ya Treni ya Kisasa-SGR kuanzia Dar es Salaam hadi Dodoma ikiwa ni sehemu ya...
1 Reactions
2 Replies
705 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 09 Oktoba 2024 amefanya ziara na kutoa heshima zake katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya 3 wa Serikali ya...
0 Reactions
4 Replies
640 Views
Hawa viongozi wa Bar-Sata ni wa kukemewa na kila mtanzania mwenye akili timamu. Wamefungia wimbo wa Ney wa mitego kwa sababu ameimba "wanaokuja kututeka wanakuja kama Polisi" yaani kwa utashi wao...
4 Reactions
19 Replies
681 Views
Naendelea kukusanya data kila siku. Ukikaa na wanaume huwezi ukasikia wakimshauri mwanaume mwenzake kuoa mara kwa mara lakini kinyume chake wanawake wamekuwa washauri wakuu wa vijana waliofikia...
13 Reactions
56 Replies
2K Views
UTAFANYAJE MKEO AU MUMEO AU MZAZI WAKO AKIWA NA MAMBO YA KISHIRIKINA? Hivi ÑDIVYO UTAKAVYOFAÑYA. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli. Mtu yeyote ambaye haamini nguvu za Mungu huyo ni mshirikina...
9 Reactions
74 Replies
6K Views
Wakati fulani nyuma, habari na hadithi zetu zilikuwa zinatoka tu kwenye magazeti na vitabu. Lakini sasa, mambo yamebadilika sana. Uandishi wa mtandaoni umekuwa na nafasi kubwa, na kama bado hujui...
1 Reactions
3 Replies
564 Views
Ukikutana na Contents ambazo hazieleweki Fanya hivi Angalia huyo anayeandika amejiunga lini JF ukikuta ni 2020-2024 usiangaike kumjibu Hao ni vijana wa Facebook Hapa JF kuna I'd moja ya mkongwe...
5 Reactions
15 Replies
670 Views
Wateja wa Benki ya CRDB ambayo ndiyo mkopeshaji mkubwa wa Tanzania kwa mali na amana, wamepokea barua pepe za udanganyifu kutoka kwa matapeli wanaojifanya ni benki hiyo. Katika shambulio hilo la...
2 Reactions
5 Replies
598 Views
Wanasema nyoka hawezi kuwang'ata hao watu wenye mahitaji maalumu na ikitokea amewang'ata basi kuna namna kuna ukweli wowote hapa Ipi sababu inayopelekea wasing'atwe na nyoka hasa kwa mtoto...
1 Reactions
2 Replies
853 Views
Haki za binadamu, ni haki gani hizi ambazo zinaharibu nguvu kazi!!!. Ushoga na matumizi ya bangi kipi bora?, Kwa nini suala la ushoga Serikali imelikalia kimya?, je, Sheria za Tanzania kuhusu...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Kama unalipa malipo ya serikali kwa leo, ni bora utumie bank kuliko mobile money, ukilipa unakatwa na malipo yako hayafiki taasisi inayo husika.
4 Reactions
14 Replies
826 Views
Back
Top Bottom