Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salamu kwa nyote mnaosoma uzi huu. Baada ya kufikiria kwa kina basi haya ni maswali yangu matano kuhusu ubongo wa binadamu. Swali 1: Kama binadamu amegundua computer, na haya mambo yote...
1 Reactions
8 Replies
784 Views
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi, Mkoa wa Pwani, siku ya Jumanne, tarehe 8 mwezi huu, kuwa wafanyakazi 4 wa kampuni ya OYA, walimuua Juma Said Mfaume, wakidai kuwa mkewe huyo Juma Mfaume...
0 Reactions
0 Replies
434 Views
Kuna uwezekano wa mimi kutoshiriki upigaji kura kwenye huu uchaguzi Kwasababu watanzania tuliomba tume huru tukapewa jina la tume badala ya tume huru, hakuwezi kuwa na uchaguzi wa haki pasipo tume...
5 Reactions
9 Replies
399 Views
Habari za muda huu. Inawezakana litakuwa ni swali la kijinga kwa baadhi ya watu ila kwangu mimi naomba mnitoe ushamba kidogo nami nijifunze. Kama tunavyojua Rais wa nchi yoyote ni Taasisi...
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Ndugu wanaJF, Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu. Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote...
50 Reactions
269 Replies
9K Views
Mimi ni mtumishi, nimeomba mkopo kwenye Benki moja hivi, inaitwa Access Bank. Yapita wiki ya tatu Sasa tangu niombee mkopo lakini mpaka leo hawajaniingizia mkopo wangu, na makato kwa Mwajiri...
0 Reactions
4 Replies
744 Views
Wakuu nisaidieni kujua kuhusu hili. Ila pia kama ni kweli nisaidie kujua, masega hayo unayapikia pamoja na nyama ya umbwa au baada ya kuandaa chakula ndio unaweka masega hayo. Karibuni.
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Unajua au unamkuta kabisa Mtu anajenga Nyumba yake nzuri tu na Kubwa halafu utamkuta anamwambia Mtu kuwa nilikuwa site najenga Kakibanda Kangu au nilikuwa najenga ka Kimjengo kangu. Sasa...
4 Reactions
9 Replies
639 Views
Ni siku ya 3 sasa mfumo wa manunuzi wa serikali NeST unasumbua (haupatikani). Je hii ndio ile kuthibitisha kuwa Watanzania hakuna jambo tunaloliweza.? Ikumbukwe kuwa mfumo huu unamilikiwa 100% na...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimebarikiwa sana na Kongamano la Karismatiki Kanisa Katoliki Dodoma. Nimebarikiwa sana na Wanenaji wote wakiwemo wale wa Kiprotestant Mwalimu Mwakasege na Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
1. Dkt. Omar Alli Juma Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay ili Dkt. Shein VP...
237 Reactions
952 Replies
97K Views
Ushawahi kujiuliza kwanini Mungu aliwaandaa Simeoni na Anna kumpokea mtoto Yesu pale hekaluni kabla ya umauti kuwakuta? Soma Injili ya Mtakatifu Luka (Lk 2:25-38) Sasa Imagine Yusufu na Maria...
2 Reactions
17 Replies
764 Views
Napenda kuwatakia Maandalizi Mema ya Sabato ya Bwana. Sabato haikomei kuwa maalumu kwa wanadamu tu bali na kwa wale wafanyao kazi. Siku 6 fanya kazi zako. Ikiwa hufanyi kazi bila Sababu yoyote...
1 Reactions
8 Replies
446 Views
Mtu kagongwa barabara ya wazo tegeta masaa mawili askari hawajatokea lakini ingekuwa maandamano wangewahi Mwili upo barabarani tangu saa 6:20 hadi saa nane na nusu ndio bajaji imewafuata trafiki...
2 Reactions
2 Replies
312 Views
...Miaka inavyozidi kwenda wanyama wakali wanazidi kukimbia mbali na makazi ya watu hivyo kuwaona inazidi kuwa adimu. Simba Nakumbuka mwaka 1998 nikiwa na wawindaji wenzangu 6 (nilikuwa mdogo...
45 Reactions
458 Replies
54K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kupitia kikosi cha Usalama Barabarani wametaja barabara zitakazotumika katika tamasha la Landrover litakaloanza kuanzia Oktoba 12, 2024 Mkoani Arusha huku likisema...
0 Reactions
6 Replies
645 Views
Naomba msaada ndugu zangu nimekuwa nikihitaji Kufanya marekebisho ya namba ya NIDA tangu mwaka Jana mwezi Novemba, katika ofisi Moja Bariadi requirements zote nilikamilisha mpaka malipo ya...
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Kampuni ya Meta, ambayo ndio kampuni inayomiliki Instagram, Facebook, WhatsApp, Threads na vifaa mbalimbali; imeingia mkataba mkubwa na kampuni ya Universal Music Group (WMG). Mkataba mpya wa...
2 Reactions
4 Replies
660 Views
Mungu aliamua kuwapa wayahudi nchi ya Kanani ufalme wenye nchi zaidi ya Tano baada ya kuwa wenyeji wa nchi Ile walikuwa wakiabudu mizimu. Pale ilitengenezwa uadui mkubwa na hasa kosa la Wana...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
KIpindi fulani niliwahi kufanya kazi na wahindi ikiwa ndio ajira yangu ya mwanzo kabisa baada ya kumaliza kidato cha sita,nikiwa nasubiri matokeo nikapata hiyo kazi katika kampuni ya ujezi Hawa...
1 Reactions
0 Replies
314 Views
Back
Top Bottom