Kiarabu kinachotumika Safari Channel kinalenga nini?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,946
Mimi sio mtazamaji wa TV wa mara kwa mara.

Imetokea Leo nipo mapumziko kidogo.

Katika kutafuta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel, (nafikiri ni Kituo Cha Taifa).

Cha ajabu katika matangazo yao ya vivutio vya utalii Nchi, kulikuwa na maelezo (nafikiri kuhusu vipindi hivyo) yalikuwa yaayolewa Kwa Kiarabu!

Nikajiuoizà hii imeanza lini?

Au Ndio paradigm shift to Middle East!
 
Hakuna kitu kama hicho.

Hii ndio Chanel yangu pendwa sana ninayo itazama.

Kwaasilimia kubwa yanayo elezwa nakuoneshwa niutangazaji wa vivutio vyetu na lugha inayo tumika kwa asilimia 99 ni kiswahili.

Labda kama ulikua ushajidunga konyagi ukawa unasikia kiarabu au kihindi.
 
Mimi sio mtazamaji wa TV wa mara kwa mara.

Imetokea Leo nipo mapumziko kidogo.

Katika kutafuta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel, (nafikiri ni Kituo Cha Taifa).

Cha ajabu katika matangazo yao ya vivutio vya utalii Nchi, kulikuwa na maelezo (nafikiri kuhusu vipindi hivyo) yalikuwa yaayolewa Kwa Kiarabu!

Nikajiuoizà hii imeanza lini?

Au Ndio paradigm shift to Middle East!
Hii nchi inaandaliwa kuwa ya kidini. Usisahau maneno ya Yule Mzee wa Chadema kibaraka wa CCM
 
Mimi sio mtazamaji wa TV wa mara kwa mara.

Imetokea Leo nipo mapumziko kidogo.

Katika kutafuta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel, (nafikiri ni Kituo Cha Taifa).

Cha ajabu katika matangazo yao ya vivutio vya utalii Nchi, kulikuwa na maelezo (nafikiri kuhusu vipindi hivyo) yalikuwa yaayolewa Kwa Kiarabu!

Nikajiuoizà hii imeanza lini?

Au Ndio paradigm shift to Middle East!
Ulijuwaje kuwa ni Kiarabu?
 
Hapo ni poa sana. Walichelewa wapi? Watangaze kwa lugha zote kuu za umoja wa mataifa kama kiingereza, kiarabu, kifaransa, kiispania, kichina etc na zingine zisizo. Tunataka pesa za utalii kwa ajili ya maendeleo. Tumechoka kukumbatia kiswahili ambacho nacho coverage yake ni limited
 
Back
Top Bottom