Nimekua nikiona mara kadhaa watu wakilalamika taarifa za mawasiliano yao kwa simu kuvuja, ikiwemo ya sauti, sms na mara nyingine hadi whatsapp.
Nimekua nikijiuliza sana kuwa ni rahisi kiasi gani...
Habari!
Mama mmoja aliniambia kuwa amepigiwa simu akiambiwa mtoto wake binti wa kidato cha kwanza anadaiwa pesa na wanafunzi wenzako shule ambayo kahama. Mama alihama kutoka Wilaya ya TEMEKE na...
Salaam
Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili, anaopata mtu kutokana na changamoto za maisha.
Mtu akidrive, huku ana msongo ni rahisi sana kusababisha ajali coz akili inakua haipo active...
Ukimuona mwenzio anatembelea gari hili nawe unatamani upate kama lile au kumzidi, ukimuona mwenzako anamiliki nyumba ile nawe utatamani kuwa na nyumba kama ile au kumzidi, ukimuona mwenzako ana...
Salaam,
Kuchepuka kwa Muktadha Wa Andiko Hili ni Kile Kitendo Cha Mmoja kati ya Wanandoa Kushiriki Mahusiano Mengine njee Ya Yale Mahusiano Rasmi Yanayotambulika.
Simaanishi Mahusiano Kabla ya...
Matumizi ya reli yetu ya kisasa SGR yatoe nafasi kwa wafanya biashara kusafirisha mizigo hasa mazao ya chakula kuelekea dar na dodoma.
Kuwepo na mabehewa zaidi kwa ajili ya kupakia mizigo na sio...
Kama kichwa cha habari inavyojieleza apo juu, kuna watu tofauti tofauti katika makuzi yao au miangaiko ya kila siku wamepata kujua baadhi ya formula ya kutengeneza dawa mbalimbali za asili...
WAkuu kutokana na tigo kupiga lock baadhi ya vpn zilizokua zinatrend hapa kati basi imeniwia vigumu kwa upande wangu,kwahivyo kwa yeyote mwenye vpn ya bule kwa sasa naomba anitumie inbox...
Wakuu nimeona nitie neno kwenye hii festival inayotarajiwa kuanza kesho huko Arusha kwa jina la Land Rover Festival. Binafsi nimetazama hili jambo nimeona lina kasoro kubwa. Kimsingi watanzania...
Mimi napenda kunawa mikono kwa sabuni nikifika tu nyumbani kutoka kwenye mishemishe. Sijui ilianzia wapi ila it came automatically na imeshakuwa sehemu ya maisha yangu. Wewe je?
Matokeo yameonekana,
Makonda kua Arusha sio bahati mbaya,
Makonda ana vitu vingi kichwani, sehemu kama Arusha inatakiwa iwe busy ipokee wageni wengi na pesa Ibakie pale.
Duniani kote habari za...
Hivi ndivyo hali ilivyo katika Vyoo vilivyopo eneo la Desemba hapa Arusha, ni Katikati ya Mji lakini inatia kinyaa kwa jinsi hali ilivyo.
Ndani ya jengo la Vyoon hivi kuna baadhi vina nafuu na...
Serikali inaendelea na ujenzi wa miundombinu bora ya barabara na madaraja ya kisasa ili kupunguza ajali za barabarani ambazo zimekuwa zikikatisha uhai wa wananchi wengi.
Hayo yameelezwa na Naibu...
Kumbe mtu unaweza toka bonyokwa ukaenda kujiandikishia boko au masaki na usiulizwe kitambulisho wala ulikotoka/unakaa wapi ,yaani shida yao ni majina yako matatu tuu hata ukidanganya naitwa...
Najua humu ndani naweza kupata msaada wa namna ya kudai mishahara yangu iliyozuiliwa kwa muda wa miezi nane huku nikiendelea na kazi.
Mshahara wangu ulizuiliwa baada ya kutokuwepo kazini kutokana...
Serikal mara kwa mara kupitia wizara yake ya afya imekuwa ikijinasibu iko karibu na tiba asili na wamekuwa wakijal na kuendeleza tiba asili hapa nchini kitu ambacho kwa upande mmoja si kweli hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.