Serikal mara kwa mara kupitia wizara yake ya afya imekuwa ikijinasibu iko karibu na tiba asili na wamekuwa wakijal na kuendeleza tiba asili hapa nchini kitu ambacho kwa upande mmoja si kweli hata kidogo
Serikal imekuwa ikihimiza waganga wa tiba asili kusajili dawa zao na kupewa vibal vya kuzitangaza na hatimae kupata soko la ndani na kimataifa
Kitu wasichokifaham ni kuwa Sisi matabibu wa tiba asili sio kuwa hatupend kusajili dawa zetu kama za nguvu za kiume ,kisukari ,ukimwi na nyinginezo ila ni gharama kubwa katika usajili huo serikal inaotoza
Imagine kusajili dawa yako moja tu na kuitangaza si chini ya milion na nusu ,ukiwa na dawa nne ni milion 6 kwel tutamudu vipi ,kwasoko gan lililopo au kwa wateja gan tulonao
Achilia mbal Hilo Sheria ya kutotangaza tiba asili imekuwa si rafiki na kandamiz kwa matabibu wa asili na ni muda wazir mwenye dhamana aiondoe ikiwa serikal yake kwel iko bega kwa bega na tiba asili hapa nchini