Wakili Peter Madeleka amecharuka katika kesi inayomhusisha Afande Fatma Kigondo, anayekabiliwa na tuhuma za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam...
Maana kuna mademu huko mitandaoni sex imefanya hadi wanatembelea spacio lakini bado hawajakoma kujiuza.
Kuna mabinti wametoka kwenye umasikini mkali hata pale alipobakia na option moja ya kujiuza...
Sio siri, wenzetu hawa set up ya elimu yao imejibu tatizo la ajira. Ni kawaida kuwasikia wafanyabiashara wa Tanzania wanaoenda China wanakwambia kwamba nenda na sampo tu, mengine mchina anamaliza...
Binadamu anapambana ili kupata mahitaji yake muhimu. "Kupambana" Hapa atafanya whatever it takes ili ajihakikishie uhakika wa maisha na mahitaji yake.
Ikitokea ameahidiwa kupata uhakika wa...
Habari ndugu zangu, napenda kwanza kuwajulisha kuhusu nyaya feki, na pili kuzijulisha mamlaka husika zichukue hatua kwani jamii inaumia.
Waya hizo ni za twin ambazo 1.5mm na 2.5 mm hazijai vipimo...
Sababu inayomfanya mtu yeyote asifanikiwe ni kushikwa na kuonewa na Ibilisi. Unaweza kukamatwa haswa na Mr. Shetani huku ukiwa muumini mzuri wa Imani, sometimes unaweza kuwa kiongozi wa dini na...
Elimu ni Ufunguo wa Maisha.
Mtu Mwenye Elimu anatakiwa amuelimishe asiyekuwa na Elimu.
Ni Ujinga na Ubwege wa kiwango cha PhD pale Msomi anapoamua kuikataa Elimu aliyo nayo na kuamuwa kuwa...
Siku ya Kimataifa ya Wanawake wa Vijijini huadhimishwa Oktoba 15 kila mwaka ikilenga kutambua jukumu na mchango muhimu wa Wanawake wa Vijijini katika kuimarisha Maendeleo ya Kilimo, Kuboresha...
Unajua me huwa sielewi hapo kwamba kuna akili nyingine ya ziada tofauti na hii unayotakiwa kuitumia ili ukae na mke..nachojua kila mtu aliye mbele yako unatakiwa utumie akili uwe mjanja uwe...
Kwa yeyote anayefuatilia vyombo vya habari nchini Tanzania bila shaka atagundua kuwa siku chache nyuma kumekuwa na taarifa kwamba kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatumia gesi ya Ethylene kuivisha...
YAJUE MACHACHE KUHUSU NCHI YA BRUNEI
1) Hadi kufikia 2011 zilikuwa ni nchi mbili TU ambazo hazikuwa na madeni....nazo ni LIBYA na BRUNEI
2) Brunei ndio nchi ambayo asilimia kubwa ya raia wake...
Unajua kwanini ulimwenguni kote watu huziona serikali zao kama zinazingua jibu ni kwa sababu hazitekelezi yale iliyoahidi.
Kutamka ahadi huwa rahisi sana nyingine huwa ni ndogo mpaka unahisi...
Baada ya kuona Madaraka Nyerere mtoto wa Baba Taifa akitaka Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere kuacha mara moja kujiita Steve Nyerere nikajikuta namkumbuka yule kijana wa Iringa mufindi...
Inaonekana kuwa kwenye Misa Takatifu huko kwenye Parokia ya Matosa, waume wamelazimishwa na Padri kuwaomba msamaha wake zao kwa namna ya 'udhalilishaji'. Nasema wamelazimishwa, kwani sidhani kama...
VODACOM shida nini matuzimia mtandao hovyo?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hivi hawa watoa huduma za Voda kwa nini wanatuzimia mtandao hovyo na kutusababishia hasara na fedheha ya...
Habari za asubuhi wakuuu.
Inawezekana nikaonekana kama ni jambo la ajabu kwa wakati huu lakini Hadi kufikia umri huu nimeshashuhudia wanaume wengi responsible wakitelekezwa na familia au watu...
Asee Wana JF hali gani huko? kazi iendelee na pia people's powers,
Tuingie kwenye mada!
Unajipambania zako na kuweka malengo Kila siku, Kila mwezi, Aidha miezi, mwaka au miaka kwamba utakua...
Wakuu mpo Salama!
Kuna Watu hawajui kuwa namna uzee unavyoingia. Sio ajabu wameshaingia uzee lakini hajui au hawana uhakika.
Sasa hizi ni moja ya dalili kuu zinazoashiria kuwa unaingia katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.