Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Makazi Duniani (...
Vijana wengi wanaishi kwa matumaini yasiyokuwepo. Wanawaza ipo siku watamla mhindi anayechezesha betting. Na imekuwa kawaida sasa hivi vituo vingi vya habari nao kuchezesha michezo ya kubahatisha...
Nina kusudi la kuenda kilosa kutafuta maisha,naombeni msaada wa wapi pakuanzia.
Kodi ya chumba ni bei ghani kule??
Watu wanaopatikana huko ni wanaroho nzuri au hawataki wageni??
Utafutaji wa kule...
Sasa yapata miezi sita ofisi za Bolt zimefungwa bila taarifa na hawajulikani waliopo, na Wanafanya kazi na na kuendelea kupokea commission kutoka Kwa madreva na Abiria na Mamlaka husika zipo...
Habari!
Sarafu mtandao, almaarufu cryptocurrency, ni aina ya teknolojia mtandao inayokua kwa kasi ya ajabu.
Hii imevutia wengi wa vijana kuvutiwa nayo na hivyo kutafuta wafundishaji, yaani...
Kutokana na hali inavyoendelea Duniani ipo siku hayawi hayawi yatakua.
Nimeangalia movie nyingi za world war II pia mauji ya Rwanda. Ukweli familia nyingi hazikujiandaa walidhani ni uzushi...
Siku hizi kumekuwa na shida sana ya mitandao ya simu na inaleta kero na hasara kubwa sana kwa sisi watumiaji. Hasa mtandao wa Vodacom unakuta huwezi kupiga simu wala kutuma meseji.
Sasa najiuliza...
Oya wana Jamiiforums hivi hawa madogo kabla ya kwenda Chuo Kuenjoy na bata sijui Boom. Hivi huwa mnawakanya mambo muhimu ya kuzingatia huko vyuoni.... ✍️
Nikiwa kama Mdau mkubwa wa mtandao wa Manunuzi ulianzishwa wa Nest badala wa ule wa Taneps wa awali, nikiri huu wa NEST ni majanga.
Nikweli mtandao wa Taneps ulikuwa unachangamoto zake lakini pia...
Nimeangalia mechi zote za taifa star!
Nikaona upo umhimu wa kubadilisha mbinu za kuchagua wachezaji wa taifa!
Samatta ni mchezaji mzuri lakini hafai kuitwa timu ya taifa kwasababu yupo katika...
Hawa wadada wanaofagia wakati kuna abiria wengi hawamwagii maji, na hivyo vumbi linajaa. Eneo kwa sasa ni dogo, na hali hii inasababisha mafua kwa abiria wengi.
Pili, tunashauri wale majamaa...
Nchi za Lesotho, Malawi, Namibia, Zambia, Zimbabwe, Angola na Msumbiji zimeripotiwa kukumbwa na hali mbaya ya Upatikanaji wa Chakula, hali inayosababisha takriban Watu Milioni 27 kutokuwa na...
Mwezi wa Uhamasishaji wa Usalama wa Mtandaoni si kwa watu binafsi tu—pia ni wakati muhimu kwa biashara na mashirika kutathmini upya mikakati yao ya usalama wa mtandaoni. Mashambulizi ya kimtandao...
Kwa kutumia mifumo ya nchi, tutawaelimisha waache ujinga na upumbavu wa kuamini kwamba wao ndiyo Tanzania na wengine ni kama sampuli ya mwanadamu.
Lazima tuwaelimishe kwa mujibu wa maelekezo ya...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji iliyopo katika Kata ya Kishiri, ufafanuzi wa Mamlaka ya Maji Mwanza umetolewa.
Kujua alichokisema Mdau huyo...
Mimi ni Mkazi wa Kaskazini Unguja, huku kwetu baadhi ya Watu ambao maeneo yetu yalichukuliwa kwa ajili ya uwekezaji wa Bandari ya Mafuta na Gesi hatujapata fidia.
Hadi kufikia leo hii Oktoba...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, akihutubia kwenye Mkutano wa 53 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya...
Na Mwandishi Wetu
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera.
Akifungua maonyesho hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.