dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Watumiaji wa barabara ya mpigi magoe mpo wangapi kwani? Mmeshindwa kuchanga mpate hata lami ya kawaida? Mbona kule goba waliweza?
Hiyo siyo kazi ya serikali tena?!Mmeshindwa kuchanga mpate hata lami ya kawaida? Mbona kule goba waliweza?
SikupigaWeka picha bro
Serikali ina vipaumbele vingiHiyo siyo kazi ya serikali tena?!
Ustaarabu kwenye kupanda daradara tu, kuchanga barabara aaaah!Huwa wananifurahisha walivyo na ustaarabu wa kupanga laini, wanapanda mmoja mmoja..
Yes. Mpiji Magoe, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo, mkoa wa Dar es Salaam.Hawa nao wanaishi Dar?
Huna habari?Goba ipi walichanga pesa kujenga barabara