Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Viwanda vile huitwa Cottage au SSI's kiufupi ni households industries, Karibia asilimia 45 ya vijiji vya Pakistan vinajitosheleza kwa mahitaji ya Viatu, Pamba kutoa nguo, spare za pikipiki...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwako Mwabukusi, TLS na wadau wote wanaoguswa na ukiukwaji wa haki za binadamu na udhalilishaji wa utu (dignity) wa mwanadamu nchini. Hali za mahabusu na magereza hapa nchini ni ambazo hazifai...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Hello! Ishara ni kitu muhimu sana, ishara sio ushirikina. Kwa wenye huduma ya kinabii watanielewa zaidi, maana Iinafanya kazi kwa ishara mostly. Ipo sauti ya moja kwa moja, yapo maono ya moja...
3 Reactions
8 Replies
672 Views
Hii ni kutokana na utegemezi wao mkubwa kwa rasilimali za asili, kama vile maji na ardhi kwa ajili ya kilimo, ambazo huathirika moja kwa moja na mabadiliko ya hali ya hewa. Ukame, mafuriko, na...
1 Reactions
2 Replies
633 Views
Hello... Jijini hapa mihangiko mingi. Wengine wamwaga zege.. Jioni mtu yuko hoi. Anaamka usiku anarudi usiku muda hautoshi. Huo muda wa kwenye daladala wakati wa kusafiri. Ndio muda wengine...
5 Reactions
5 Replies
428 Views
Wakuu kwema? Hii naileta kama hoja binafsi, tafadhali wadau emu jambo hili tulitafakari kwa umakini. Matokeo ya darasa la saba, huwa katika mtindo huu: mfano: Richard Zembwe Kiswahili-A...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Tafuteni hela, ni umasikini tu ulikuwa unawasonga Bado private schools ni bora kuliko St Kayumba. Hakuna mtu mwenye uwezo na anayejua maana na umuhimu wa elumu atabisha, mwaka huu kayumba wengi...
1 Reactions
4 Replies
467 Views
MHE. ZAYTUN SWAI, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Akichangia Bungeni Kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2025/2026. "Katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati...
0 Reactions
1 Replies
408 Views
Hoja Za Mungu ni ngumu kuelewa ila pia ni nyepesi kuelewa ukitumia akili vizuri sana Let me go straight to the topic Kwanini Mungu ameruhusu wanadamu kuteseka? Ukweli ni kwamba Mungu Hajaruhusu...
0 Reactions
7 Replies
947 Views
MABADILIKO YA RATIBA YA NDEGE YA MUMBAI-DAR ES SALAAM 04 Novemba 2024, Dar es Salaam Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuutaarifu umma kuwa ratiba ya leo ya safari ya kutoka Mumbai...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Watanzania na mitazamo Shule za msingi na sekondari za serikali ...... wananchi response :rolleyes: Hospitali za serikali ....... wananchi response:rolleyes: usafiri wa umma...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Kuna kijana kwenye mtandao wa kijami ameibua mjadala ambao nimeusikia na Clouds kwamba Tanzania kuna tabia iliyoota mizizi ya ya raia kujichukia sana(self-hate mentallity). Mifano yake aliyotoa...
2 Reactions
6 Replies
460 Views
Huyu bwana ni kama tulikua tumeshampoteza, lilikua ni suala la kuhesabu siku tu maana hata mkewe alikua kamkatia tamaa. Wakuu mambo haya yasikieni nyie akina min -me , hiv watu mnapata wapi...
62 Reactions
195 Replies
10K Views
Kuna taarifa zinazotengenezwa na kusambazwa katika makundi sogozi yenye nia ya kudanganya ili kuleta taharuki kwa umma kumhusu Franco Kashaija Ruhinda kuwa haijulikani alipo toka alipowasili...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
SERIKALI KUJENGA BARABARA ZILIZOHARIBIWA NA EL NINO Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema Serikali imekabdhi barabara zilizoharibiwa na mvua za El Nino na kimbuga Hidaya kwenye mikoa ya...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Naam ni siku nyingine tulivu na angavu, ili uwe Mwanaume Halisi usiyeyumbishwa kaa hapa fuatana nami hadi mwisho 1: Chochote kile unachokifanya kujitenga na umasikini basi kifanye kwa weledi...
2 Reactions
5 Replies
508 Views
Nimepata nafasi ya kupita jeshini kwa mujibu wa sheria (Operation Kikwete). Nimekua nikujiuliza ni nidhamu gani wanafundisha kule? Lugha zinazotumika sio za staha kabisa. Nyimbo za matusi ni...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Ila ujana kazi sana kwakweli🤣🤣🤣fikiria hapa Kuna mtu anaishi kwenye hiki chumba na yupo sawa kabisa🤣🤣🙌🙌Mimi Kwakweli nikiingia hapo ndani nikitoka nje mnishike mkono Kwasababu nitakua naona...
7 Reactions
12 Replies
496 Views
Mmiliki wa stendi ya jiji la Arusha hana bajeti ya kukarabati na kufanyia usafi jengo la abiria? Jengo nichafu mabati yana vuja mpaka wanaweka maturubali juu yake. Kama mnajenga stendi mpya tangu...
2 Reactions
5 Replies
702 Views
Kuna wahubiri siku hizi wanauza maji, chumvi ama mafuta ili kutatua shida za watu (sina uhakika kama vinatatua). Bei zao ni kubwa sana na wanaingiza pesa ya kutosha. Swali, Je, kuna haja walipe...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Back
Top Bottom