Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu. kuna watu wanatafuta pesa kwa shida sana kwenye kuitafuta. ila inapo kuja kwenye kupata faraja jion au akirud kwa yule ampendae pia ana ambulia zarau, kejeli na kero mbali mbali, u Kwa...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Nimepata tatizo nilikuwa naweka pesa kwenye account ya Mpesa visa kiasi cha Tsh 80000 ili nifanye malipo mtandaoni ila sasa salio silioni kwenye Mpesa Visa. Huku Mimi nimesharudishiwa sms kuwa...
4 Reactions
77 Replies
2K Views
Wazee wetu waliolitumikia shirika la reli Tanzania kwa jasho na damu asilimia kubwa kwa sasa wamepoteza maisha na wengine wako hoi vitandani na ama wako hoi kimaisha! Serikali kupitia shirika la...
0 Reactions
9 Replies
706 Views
Wajinga kaeni kwa kutulia kizazi hiki cha corona na uvuvuzela hamjui kitu. Msibani watani tunaongea tunachotaka na kwa Raha zetu. Kaeni kimya Pang Fung Mi
0 Reactions
2 Replies
481 Views
Wakuu habari za usiku huu.Pasipokuchosha nijikite katika mada.Tuongeleapo uchawi twalenga matumizi ya madawa ama vitabu maalum(grimoires) ikihusisha manuizo na kudhuru watu wengine kimiujiza...
2 Reactions
5 Replies
819 Views
Karibuni wanasayansi wa siasa na maswala ya kimataifa.
0 Reactions
5 Replies
300 Views
The Majlisi Milli (Tajikistan’s upper chamber of parliament) has seconded the law banning “alien garments” and children's celebrations for two major Islamic holidays -- Eid al-Fitr (Idi Ramazon)...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk Lakini si huu usela wa hawa vijana wa Arusha. Asee watoto wanaozaliwa miaka...
22 Reactions
92 Replies
3K Views
Hii taarifa tangu nilipoiona, kama inaukweli basi nchi yetu ni masikini wa kutupwa. Inaonuesha uhalali wa kupigwa mizinga popote utakapopita. Inaonyesha vuguvugu la uchawa ni harakati za watu...
5 Reactions
9 Replies
526 Views
Mwili wa msanii, Grace Mapunda maarufu 'Tesa' umeagwa bila jeneza lake kufunuliwa. Huo ulikuwa ni utaratibu wa familia ambao ulitangaza kutofunua jeneza lenye mwili wa muigizaji huyo. Taarifa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
"Elimu mheshimiwa Mwenyekiti elimu ni mambo matatu elimu ni access, elimu ni quality, elimu ni relevance na tukianza na access wangapi wana fursa ya kwenda shule, la pili quality elimu yetu ina...
4 Reactions
11 Replies
827 Views
Mringo is our modern day case study that demonstrates its possible to come from ordinary background and still get rich in Tanzania... This guy started from bottom few years ago but now he owns...
11 Reactions
83 Replies
20K Views
Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma. Na huu ndio muonekano wake ndani Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha...
41 Reactions
194 Replies
11K Views
Mimi binafsi kabla kuanza kujitegemea nilipitia kukaa kwa ndugu wawili 3, experiences zipo za kutosha lakini ninazo kumbuka haraka haraka ni hizi Experience mbaya[emoji1484] 1. Nilifika kwa...
52 Reactions
452 Replies
45K Views
Ni jambo lililozoeleka kusikia wabongo kutukanwa na kushushiwa vipigo kwenye baadhi za ofisi za wahindi na biashara, hali hii ilikuwa tofauti kwenye kiwanda flani cha waarabu. Kuna siku Moja ya...
8 Reactions
13 Replies
598 Views
Aina ya risiti zao Leo asubuhi kina mama wa Mtaa wa Kilungule B Kata ya Kimara, Wilaya ya Ubungo wameamka na vilio baada ya kutapeliwa na watu waliokuja kufanya mnada wa vyombo mbalimbali kama...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Nawakumbusha tu, Amiri Jeshi Mkuu wa Kwanza wa Nchi hii, Julius Nyerere mwaka 1980 alimteua Jenerali David Musuguri kuwa Mkuu wa Majeshi. Wote hawa ni wazaliwa wa Butiama. Miaka 37 baadae, John...
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tunduru, Masasi...
0 Reactions
1 Replies
548 Views
Tanzania imezidisha juhudi za kupunguza matumizi yatokanayo na zebaki ambayo hutumiwa sana na wachimbaji wadogo wa dhahabu (ASGM) lakini inatajwa kuwa ni hatari kwa afya na mazingira. Mhandisi...
0 Reactions
1 Replies
379 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila kwa niaba ya serikali ya mkoa huo ameanzisha hamasa ya kuanzisha mfuko mahsusi kwa ajili ya wasanii wa 'maigizo' pekee ambapo kwa kuanzia itatolewa...
0 Reactions
3 Replies
576 Views
Back
Top Bottom