Ukweli ni kwamba maisha tunayoishi leo ni matokeo ya maandalizi ya Jana, Tulichokiishi Jana ndio kina aksi maisha ya leo.
Ni ukweli kwamba kile tunachokiita laana na Dhambi kubwa kufru na...
Biblia moja inatumiwa na Wakristo wengi japo wengine ina vitabu 66, wengine ina zaidi ya vitabu 66.
Wanaotumia vitabu 66 kuna vingine walivipunguza kwa sababu mbalimbali, ila Wakristo wengi...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora ametoa miezi mitatu kwa halmashauri zote mkoani hapo, kutenga maeneo yatakayokuwa na miundombinu ya kujificha ya kutengeneza na kuuzia masanduku ya kuzikia maiti (majeneza)...
Mkazi wa Mtaa wa Kyamaizi, Kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba, Abdul Suleiman (30), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Bukoba akikabiliwa na kesi mbili za kuwabaka na kuwalawiti wanafunzi...
Nimejaribu kufanya utafiti mdogo tu, nikagundua ni rahisi waajiriwa kuwaonea au kuwakemea wale wote waliopo chini yao, lakini hawa waajiriwa kwa mabosi zao wanakuwa na nidhamu ya woga au unafiki...
Wakuu hivi ile filamu ya kitanzania iliyojulikana kama Eonii ambayo ilipigiwa sana Promo na watu kuifananisha na movie za hollywood imeishia wapi?
Soma pia: EONII 2023 movie ya kwanza kali ya...
Jenerali Musugiri ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania [JWTZ], amefariki dunia leo Oktoba 29, 2024 jijini Mwanza alikokuwa akitibiwa. Mazishi yanatarajiwa kufanyika...
Haya sasa matukio yamezidi ya wanandoa kufanyiana ukatili kila wakati. Tufanyaje kuyapunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya wanandoa mh maana inaogopesha sana?
=========================
Mtu mmoja...
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Getrude Shio mkazi wa Marangu mkoani Kilimanjaro, amedai kuwa amepigwa kofi na mkuu wa wilaya ya Moshi ndugu James Kaji ikiwa ni baada ya kukataa kutoa cheti cha...
Kwakweli muhimili wa habari ni muhmu sana kwa maendleo ya nchi yeyote inayojtambua dunia.
Ukija Afrika huku ni tofauti kdogo sio kwenye siasa, uchumi, michezo, biashara na technolojia na sayansi...
Kuna uwezekano wa kwamba kuondolewa kwa Songas kumechangia hali hiyo, hasa kama kulikuwa na utegemezi mkubwa kwenye mitambo yake ya kuzalisha umeme.
Songas ilikuwa na jukumu kubwa katika...
Maana ya Talaka
Sheria inayosimamia masuala ya talaka ni sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Na kwa mujibu wa sheria hiyo, “Talaka ni ruhusa ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomwacha...
Eneo la Msufini, Manispaa ya Singida ni mashughuli na maarufu kwa biashara hapa Singida. Shughuli nyingi za biashara za aina mbalimbali zinafanyika karibia eneo lote la Msufini.
Kinachosikitisha...
Ndugu zangu kwanza natanguliza samahani zangu kwa yule yeyote nitakae kwenda kumkwanza kwa njia moja au ingine.
Mr. Liyumba ni mfanyakazi wa Benki kuu ya Tanzania BOT, kazi ambayo Labda kutokana...
DAR ES SALAAM, Nov. 4 (Xinhua) -- Idadi ya watalii kutoka China wanaotembelea vivutio vya utalii vya Tanzania imeongezeka kwa kiwango kikubwa tangu kumalizika kwa janga la COVID-19, afisa mmoja wa...
Wakuu habarini.
Hizi serikali zetu ngozi nyeusi zinapenda sana mambo ya kipuuzi ili kuzima ajenda zao Kwa wananchi
Kwa serikali yenye watu wenye akili kulikuwa na haja gani ya kuvujisha zile...
Leo ndo nimeamini elimu haina mwisho
Dr Manguruwe ameshtakiwa Kwa makosa 28,
Likiwepo kosa la kucheza upatu, ambapo kidogo imenishangaza, nikaona kiama kimefika Kwa vijumbe mtaani
Yaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili😳😳😳 kwanza shule za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.