Zinaumiza macho sana aiseeKatika vitu sivipendi ni taa za rangi zinaumiza macho sana
Sasa ushamba hapo ni nini? Rangi ya taa? Technology iliyotengeneza hiyo kuna akili kubwa imewekwa na inajua kuna consumers wa hiyo. Huwezi wewe sio sababu ya ushamba ila macho yako hayana uwezo wa kustahimiliIla ujana kazi sana kwakweli🤣🤣🤣fikiria hapa Kuna mtu anaishi kwenye hiki chumba na yupo sawa kabisa🤣🤣🙌🙌Mimi Kwakweli nikiingia hapo ndani nikitoka nje mnishike mkono Kwasababu nitakua naona mawenge mawenge😆 labda ushamba View attachment 3143939
Duuh,Duniani kuna mambo!Hata Mimi nikitoka humo kama sijielewi na farujohn!wenge si wenge!Ila ujana kazi sana kwakweli🤣🤣🤣fikiria hapa Kuna mtu anaishi kwenye hiki chumba na yupo sawa kabisa🤣🤣🙌🙌Mimi Kwakweli nikiingia hapo ndani nikitoka nje mnishike mkono Kwasababu nitakua naona mawenge mawenge😆 labda ushamba View attachment 3143939
Kaa utulie Wewe,vitu vya watu,soma uelewe kichwa Cha mtoa mada!.Hujioni kama wewe ndo mshamba? Mambo ya watu yanakusumbua nini?
Problem si kutengeneza is where inatumika, and thats where kuna tofauti yetu na waoSasa ushamba hapo ni nini? Rangi ya taa? Technology iliyotengeneza hiyo kuna akili kubwa imewekwa na inajua kuna consumers wa hiyo. Huwezi wewe sio sababu ya ushamba ila macho yako hayana uwezo wa kustahimili
Dada wa michezoZinaumiza macho sana aisee
Maelekezo ya mtengenezaji ni itumike wapi?Problem si kutengeneza is where inatumika, and thats where kuna tofauti yetu na wao
Umepiga kwenye mshono 😂Hujioni kama wewe ndo mshamba? Mambo ya watu yanakusumbua nini?