Hivi kipi ni kipimo sahihi cha mafanikio?

RICH-HARD

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
345
332
Hivi kipi ni kipimo sahihi cha mafanikio??!!

Kati ya MTU mwenye Pesa nyingi sana au MTU mwenye Elimu ya juu sana??!!

Je,ulishawai kukutana au kufundixhwa na walimu matajili wangapi??!!

Au unawajua matajili wangapi walio ajiliwa??!!

Kwamaoni yangu kipimo sahihi cha mafanikio ni Pesa na sio elimu
Nipe mtazamo wako........
 
Ndo mnavyosemaga eti na hizo pesa mingi ukifa unaondoka nazo sio?!
WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.
 
Naona mjajitahidi kukwepa utafikiaje Marengo bila kuwa na pesa
 
Z
Kipimo sahihi cha mafanikio ni: kiasi gani umefikia malengo ya ndoto yako ya ulivyotaka uwe, basi! Sahau mambo mengine yote kama hayakuwa kwenye orodha ya ndoto yako
Utafikiaje malengo wakat huna Pesa
 
Mafanikio ni kufanikisha malengo uliyojiwekea haijalishi ni ya aina gani hivyo sio rahisi kupima mafanikio ya mtu maana hujui malengo yake ila jipime wewe kwa malengo yako je umefanikiwa!
 
Pesa kwa lugha nyepesi ni nyenzo au kiunganishi kati ya ndoto zako na maisha halisi. Huwezi kujiita uliyefanikiwa kwa kuwa na pesa nyingi benki
 
Mafanikio ni kufanikisha malengo uliyojiwekea haijalishi ni ya aina gani hivyo sio rahisi kupima mafanikio ya mtu maana hujui malengo yake ila jipime wewe kwa malengo yako je umefanikiwa!
Me kufanikiwa mpaka niwe na Pesa nyingi
We unataka kufikia malengo huna pesa
We veepe
 
Back
Top Bottom