Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mambo vipi? Kuna sehemu nimepanga ghetto room Moja vyumba vya nje ya nyumba kubwa ila Kuna uzio na nyumba kubwa wenyewe hawaishi wapo Tanga mjini ila uwa wanafikia wakija uku Bush Mimi nipo...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Yaani natumia router ya airtel, na Voda kwa lengo lakuwa na internet ofisini lakini kuna muda mitandao yote tabu lele,leo siku nzima inasuasua tu , Nimeamua kutafuta pocket router ya Tigo ndio...
4 Reactions
12 Replies
820 Views
Kama una chuki na adui yako jitahidi chuki isizidi. Pindi chuki ikizidi inakupofusha kutoona uangamizo wako. Yann ya kumtilia adui yako sumu kwene kisima ambacho wewe mwenyewe ndo unatumia maji...
0 Reactions
5 Replies
496 Views
Kufuatia taarifa za kushikiliwa kwa Mwanaharakati Mdude Mpaluka Nyagali (kada wa Chadema) anayedaiwa kushikiliwa kwenye kituo cha Polisi Itumba Ileje, Wakili Boniface Mwambukusi kupitia ukurasa...
0 Reactions
1 Replies
307 Views
Zamani, wanaume walijulikana kama “watoa riziki” wa familia zao, na jukumu lao lilikuwa ni kuhakikisha kuna chakula mezani, ada za watoto zinalipwa, na familia inakuwa salama kifedha. Lakini siku...
0 Reactions
1 Replies
558 Views
Ikiwa zimebaki siku mbili tu kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania Bara, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa taarifa kuwa Jumatano ya Novemba 27 ni siku ya kazi kama kawaida...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA SABA WA (7) WA JUMUIYA YA MAMLAKA ZA USIMAMIZI WA USAFIRI MAJINI AFRIKA Dodoma. Wizara ya Uchukuzi inautaarifu umma na wadau wa sekta ya usafiri majini...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Hili jengo limechoka sana na nashangaa serikali imekaa kimya kwasababu tumetoka kupata majanga wiki iliyopita nilitegemea Ili jengo lingebomolewa maana limechoka. Ndugu zangu siku ya Leo nikiwa...
22 Reactions
69 Replies
3K Views
Logos: Katika falsafa na theolojia: "Logos" ni neno la Kigiriki ambalo lina maana nyingi, lakini kwa kawaida linamaanisha "neno," "akili," au "mantiki." Katika Biblia: Inatumika kuelezea Yesu...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Wakati wa likizo ni fursa ya kipekee kwa mzazi au mlezi kujenga uhusiano bora na mtoto. Huu ni muda wa kumfundisha ujuzi muhimu kama vile usafi, kupika, kuogelea, au hata kutembelea maeneo ya...
3 Reactions
1 Replies
636 Views
Kufuatia kampeini ya 'Mtoto Vunja Ukimya' ambayo imefanyika katika Kata ya Manzese na Kwembe zilizopo wilaya ya Ubungo, Jijini Dar es salaam imebainishwa kuwa kesi takribani 860 za ukatili dhidi...
0 Reactions
17 Replies
820 Views
Jana nilikuwa sehemu kawe Baadae kukawa na sherehe jiranj Gafla wakapitisha kigodoroo nyimboo kama zotee Mda ukafika naelekea home aisee niuokutana nayoo n hatareee Yaan mabinti wadogoo...
1 Reactions
3 Replies
412 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaamm, Albert Chalamila, amesema kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atatoa taarifa rasmi kuhusu mwenendo wa zoezi la uokoaji katika eneo la Kariakoo, ambapo maafa yalitokea...
0 Reactions
0 Replies
378 Views
Dar es Salaam: Kundi la makampuni ya Vodacom barani Afrika (Vodacom Group) limejiunga na watoa huduma wa teknolojia ili kutengeneza fursa kwa vijana barani humo kupitia ujuzi wa kidijitali kama...
1 Reactions
0 Replies
322 Views
H Hii inasikitisha sana wakuu, maumivu ya hapo hayaelezeki kwa kweli. ======== Watu tisa wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba walizokuwa wakiishi kusombwa na maji baada ya mto...
1 Reactions
3 Replies
704 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro tarehe 25 Novemba...
0 Reactions
1 Replies
535 Views
Naibu Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA - Zanzibar Bw. Saleh Haji Pandu amesema wataendelea kuvilea vilabu vya kodi mashuleni ili kuwaandaa watoto kuwa walipokodi wazuri wa baadae na kuwa...
0 Reactions
7 Replies
604 Views
HIVI UNAJUA YA KWAMBA🌚 -Tupac Amaru Shakur, Yote aliyoyafanya ikumbukwe kuwa alifariki akiwa na miaka 25 tuu😃 -Michael Jackson akiwa na miaka 24 aliunda Album ya Thriller ambayo ndo albamu bora...
0 Reactions
5 Replies
517 Views
Wakuu kwa wale wanaotumia NMB mshahara wa mwezi huu umeingizwa au ndiyo bila bila? Wakuu duuuh sio poa kabisa
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wana jamvi, kuna Mkuu wa mkoa mmoja Anaitwa Saidi Mohamed Mtanda ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza aliyepokea Kijiti kutoka Kwa Amos Makala akitokea Mkoa wa Mara baada ya kuwa Mkuu wa wilaya kwenye wilaya...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom