Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
Wakuu kwa wale wanaotumia NMB mshahara wa mwezi huu umeingizwa au ndiyo bila bila? Wakuu duuuh sio poa kabisa
Nmb bado ,ila CRDB wameingiziwa janaWakuu kwa wale wanaotumia NMB mshahara wa mwezi huu umeingizwa au ndiyo bila bila? Wakuu duuuh sio poa kabisa
Hii maana yake Street University au?
Shirika la Umma kumbe
Shtuka Toka Kimbia
STK ndo TAMISEMI?Shtuka Toka Kimbia
Ungesema Mchengelwa ningekuelewaSTK ndo TAMISEMI?
Bado
Tayar kwako mkuu wengi hatujaingiziwaTayari bana
Hata wa October ulichelewa ila Kuna wengine waliingiziwa mapemaTayar kwako mkuu wengi hatujaingiziwa
Wewe umepata liniHata wa October ulichelewa ila Kuna wengine waliingiziwa mapema