Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika ulimwengu huu wa mabadiliko yasiyokoma, je, tunaelekea wapi? Maisha yetu ni safari ya kutafuta maana isiyofikika au ni kizungumkuti cha kutafuta lengo ambalo halipo? Katika mtindo huu wa...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Habari wanajamvi., Tupo kwenye ulimwengu wa kisasa, ambao Teknolojia imechukua nafasi kubwa kwenye Dunia na kuteka baadhi watu na kujikuta nusu ya maisha ya wengi yametawaliwa na Teknolojia...
1 Reactions
8 Replies
860 Views
1. Biblia Idadi ya Lugha: Zaidi ya 3,600 (kwa sehemu au kitabu kizima). Maelezo: Kitabu cha kidini cha Ukristo kinachojumuisha Agano la Kale na Agano Jipya. Biblia imechapishwa kwa lugha nyingi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
N jambo la kusikitisha sana sana 2017 Serikali ilikuja ikafanya uchambuzi wake wakitarajia kuchukua eneo la kipungun kwa utanuzi wa airport Watu wakasimamishwa kuendelea kujenga...
3 Reactions
7 Replies
325 Views
Wakuu, Takriban siku 2 zilizopita Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilipokea msaada wa dola milioni 9 za Marekani (takriban shilingi bilioni 24.5) kwa ajili ya kuboresha huduma za hali ya...
2 Reactions
13 Replies
835 Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa Septemba 1, 2024 kuwa kuna uwezekano wa kutokea kwa upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa siku tatu mfululizo kuanzia Septemba 1 hadi Septemba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Tanzania imeendelea kung'ara kwenye utalii katika ngazi ya kimataifa na hii ni baada ya kuibuka kidedea kwa mara nyingine tena kwenye tuzo za World’s Leading Safari Destination...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
IIe mikopo yetu ya mtandaon na makelele watu wanatumiwa msg za madeni wasiohusika nilijua ziko Tanzania tu Hii michezoo iko hadi Kenya. Benki kuu imelaan tabia inayoendelea na wahusika...
0 Reactions
1 Replies
396 Views
Wadau humu jf, najua wengi humu mnauelewa na maeneo mbalimbali hapa jijini.Napenda kujua kwanini pale magomeni panaitwa magomeni usalama au chang’ombe usalama
0 Reactions
6 Replies
616 Views
Kumekuwa na sintofahamu kwa wananchi wanaohamishwa kutoka vijiji vya Utegi, Wilaya ya Rorya. Hizi ni baadhi ya maswali yanayojitokeza: Hawa wananchi hawajaelezwa ni kwa nini wanahamishwa...
0 Reactions
0 Replies
434 Views
NI dhambi GANI haijawahi kuwepo hapo kale, ni mpya kabisa katika ulimwengu wetu huu? Twende kwa mwendo wa maswali Na majibu
0 Reactions
20 Replies
903 Views
Aman iwe kwenu watumishi Wazungu wa zamani tulizoea kuwaona vijijin maporini kabisa wa kifanya kazi Hasa kazi kama utawa, upadre, udakitari, kilimo, na hata uwindaji Hakika waliweza na...
3 Reactions
9 Replies
733 Views
Kulingana na hali ya kiuchumi katika jamii kwa ujumla swala la nguo za mtumba haliepukiki, Tangu tulipokuwa wadogo tumekuwa tukivaa nguo za mtumba na maisha yanasonga kama kawaida, Pamoja na...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Naandika hapa nikiwa na jazba kwasababu sina access ya kuzungumza na mtoa huduma moja kwa moja wa Vodacom huduma kwa wateja. Kila nikipiga namba 100 napokelewa na sauti ya computer na hakuna...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Naomba niwakumbushe tu hawa wenzetu kuwa Sababu mojawapo kubwa kabisa inayofilisi mashirika ya ndege ni kuto kuaminika. Kuaminika maana yake ni kuwa na ndege ambayo abiria hana uhakika kama...
2 Reactions
0 Replies
327 Views
"Niliishiwa na nguvu, baada ya kutolewa katika chumba cha kupigia kura, wakati Mimi nilikuwa ni mgombea halali wa uwakikishi Jimbo la Malindi Mwaka 2020," anasema Khadija. Wakati wa Uchaguzi Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Takribani watu 24 wamefariki dunia baada ya boti mbili zilizokuwa zimebeba raia wa Somalia kupinduka katika pwani ya Madagascar. Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Somalia zinasema juhudi...
0 Reactions
1 Replies
524 Views
Qur'an inataja kisa cha vijana waliolala pangoni kwa muda mrefu kama mojawapo ya ishara za nguvu na hekima ya Allah. Hiki ni kisa cha "Watu wa Pangoni" (Ashabul Kahf), kilichoelezwa katika Surah...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Mafiati Junction-Mbeya Kiukweli Tanroads ya Sasa inatia kichefuchefu na aibu sana linapokuja swala la design. Nimeangalia video zao zinazoelezea ujenzi wa njia 4 Mbeya ila cha ajabu na...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Ukiachana na hii video.., 1. Kuna video moja niliona njemba zinakanda unga wa ngano kwa kurukiarukia tena peku. 2. Nimewahi kushuhudia jirani yangu (mpangaji mwenzangu) akitumia chupi kama...
0 Reactions
2 Replies
485 Views
Back
Top Bottom