Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habari ya muda..mdogo wangu amehitimu ualimu miaka minne nyuma sasa punde baada ya kuhitimu huwa wanapewa mapema ACADEMIC CERTIFICATES kuliko vyeti vingine..kwa hiyo alifanikiwa kuipata...
0 Reactions
4 Replies
661 Views
Na kilichoniumiza zaidi baada ya kutoa Boko hilo ni kwamba kila mara nimekuwa nikikusikia ukisema (tena ukitamba) kuwa una Masters Degree (Shahada ya Uzamili) na kwamba ulishakuwa Mkufunzi...
16 Reactions
40 Replies
2K Views
Napenda Leo nitoe ushuhuda katika karma. Mimi Babu yangu alikuwa ameajiriwa na serikali ya wakoloni na baadae serikali ya Nyerere. Babu yangu alikuwa MTU wa kujitoa Sana alihakikisha...
4 Reactions
14 Replies
621 Views
Naomba kusainiwa ndugu zangu hivi hizi jumuiya na seli za wakristo lengo lake hasa ni nini? Mbona sioni cha ziada, zaidi ya michango na kufokewa? Hizi jumuiya na seli zimekuwa kama vile mtego kwa...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Watanzania huko tunakoelekea siko kabisa turejeshe mioyo ya kupendana Tuzidi kumuombea uponaji wa haraka Mh Abdul Nondo huu ujuwaji wa kujifanya Matomaso hautatusaidia chochote Mlale Unono 🐼
3 Reactions
13 Replies
728 Views
1. Wote ni wapenda amani na umoja, kama Mwalimu Nyerere alivyopigania amani, Rais Samia anahakikisha Tanzania inabaki kuwa nchi ya utulivu. 2. Nguli wa Kiswahili, Mwalimu Nyerere alijenga misingi...
0 Reactions
7 Replies
777 Views
Naomba uzi huu kubaki hapa bila kuingwa utasaidia mnoo Kabla ya maelezo mengi kuna msemo usemao Immigration officer have a right to your visa application denial without giving out reasons, Watu...
7 Reactions
52 Replies
11K Views
Wanaume wa Dar mmiminike kujibu hoja zetu za wanaume wa mkoani. Wadau mambo mengi yanasemwa sana kuhusu wanaume wa dar mengi yakiwasilishwa kwa njia ya utani. Leo asubuhi nimekutana na jamaa...
15 Reactions
52 Replies
2K Views
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, mkoani Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Debora Magiligimba, amewataka wanaume wanaonyimwa unyumba kuripoti katika madawati ya jinsia...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Anonymous
Leo Jumatatu tarehe 2 Dec 2024, muda huu ni saa tatu na dakika 45 usiku Mitaa ya Forest Mpya kwa Mwamnyange kuna gari la matangazo linatoa tangazo kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuhusu mauzo...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Mimi ninatafuta kijana wa kazi ya kuuza na kusambaza bidhaa Kwa wateja.kazi ni ya dukani,nafasi moja (1) eneo la kazi ni Arusha Tanzania Sifa zake 1. jinsia yoyote ilimradi awe tayari kukubali...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Naombeni msaada wandugu. Nataka kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza mifuko ya plastic yaani Yale maroba kama yale wanauzia mkaa na kuhifadhia mahindi. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Nakumbuka, ilikuwa katikati ya miaka ya 90 nikiwa nasoma katika moja ya shule za sekondari katika moja ya wilaya zilizopakana na nchi za Rwanda na Burundi. Ikumbukwe ni katika miaka hiyo...
20 Reactions
275 Replies
31K Views
Ruhusuni mfumo ambao pesa ikiingia kwenye simu ya lipa namba itoe notification kwa simu nyengine pia. Mfano nina lipa namba moja ila watoa huduma watatu nahitaji hao watoa huduma watatu wapate...
1 Reactions
1 Replies
625 Views
Ushauri tu Kwenu Maaskofu wakuu Wapendwa wasaidizi wa maaskofu Anzeni vikao vya kuambiana Kuzikana sio lazima wawe wah ama wafanyabiashara ama wanaotoa sana kanisanii Mnaposikia misiba ya...
2 Reactions
4 Replies
534 Views
Bwana ni jumapili mpya ya tarehe 1/12/2024 asante Bwana kwa neema ya kuuona mwezi mpya. Bwana naomba mwezi huu ukawe ni mwezi uliobeba baraka na mashangilio tele ukawe mwezi wa kurejeshewa...
1 Reactions
7 Replies
457 Views
Watanganyika wenzetu wanatekwa, kupoteza na kuuawa katika ardhi yetu na mchana kweupe Idadi ya vifo na utekaji vimeongezeka Uchunguzi usiokuwa na majibu juu ya waliomteka Mzee Kibao hapa Masauni...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Tuwasifu milele ee Yesu bikra maria na Yoseph. Ee Yesu uziongoze roho zote mbinguni hasa wale wanaohitaji msaada wa huruma yako. Damu ya krsito iziongoze roho za marehemu mbinguni hasa wale...
20 Reactions
127 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa mashuhuda, ghorofa hilo lilianguka ghafla saa tatu na dakika tano asubuhi wakati mafundi ujenzi walipokuwa kazini wakitoboa kwa ajili ya kuongeza sehemu ya maduka. "Tulianza...
14 Reactions
140 Replies
10K Views
Watu wana pesa jamani. Kama za majini au za madili Mimi sijui ninachojua ni kwamba watu wana pesa sana. Yawezekana mifumo ya sasa ni rafiki kwa watafutaji. Tuombe Mungu asitokee tena mtu kama...
18 Reactions
79 Replies
4K Views
Back
Top Bottom