Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Vitendo vilivyoripotiwa vya ulaghai kwenye mitandao ya simu vimepungua kwa asilimia 28 kati ya Juni na Septemba mwaka huu, kutokana na hatua kali za serikali na kampeni za kuongeza uelewa wa...
0 Reactions
12 Replies
718 Views
Wakuu.... Achaneni na kichwa cha habari kwanza, nataka nijue haya kabla cjafanya lolote. Madaraka ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano: 1. Raisi anaweza kufuta uraia wa mtu (hata kama ni mzawa) 2...
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Mtoto anayesoma Darasa la Tatu katika shule ya Msingi Kasota (9) Mkazi wa kijiji cha kasota Kata ya Bugulula Halmashauri ya wilaya ya Geita Mkoani humo amejeruhiwa kwa kumwagiwa mafuta ya Petrol...
1 Reactions
12 Replies
945 Views
Ndio ndio wakuu, Najiuliza tu kwanini mshikaji siku hizi anapenda sana kuvaa style moja. Alikua mtu wa suti na mashati ya kawaida. Siku hizi ni mwendo wa Shati + Kizibao (tofauti rangi tuu) Mimi...
1 Reactions
48 Replies
18K Views
Maana ya Gen Z. Kwa mujibu vyanzo vya mtandaoni, Gen Z ni vijana waliozaliwa kuanzia mwishoni mwa miaka 1990. Pia wanafahamika kama kizazi cha kidijitali kwa sababu walizaliwa wakati mtandao ndio...
6 Reactions
65 Replies
6K Views
Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia...
0 Reactions
3 Replies
582 Views
Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana. Dogo mara ya mwisho aliga anaenda kujaza fomu shule,...yaani ndio hawa madogo wamemaliza mitihani juzi ya necta. Sasa...
15 Reactions
85 Replies
5K Views
Niaje wakuu, Just imagine unamloga fundi Mwenzio kisa kafanya kazi ambayo uliitiwa ukataja bei kubwa yeye kataja bei ndogo kapiga kazi kwa wivu na roho mbaya yako unamfanyia umafia. At the end...
6 Reactions
54 Replies
2K Views
Wakuu, Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya...
15 Reactions
203 Replies
17K Views
Wakuu Haya Matangazo ya viwanja "Vinauzwa na Hati" yanayosikika karibu kila kituo cha daladala hapa mjini Dar kupitia sauti kubwa kutoka kwenye spika zilizowekwa, ni kero kubwa kwa abiria na...
1 Reactions
12 Replies
685 Views
Habari Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa. Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu...
3 Reactions
5 Replies
747 Views
Nilikua napitia thamn ya vipande tofauti Leo 27.11.24 1️⃣Umoja fund-1076 🟥 1087 KUZ🟩 2️⃣Ukwasi/Liquid fund 427🟥 427🟥 3️⃣Jikimu 177🟥181🟩 4️⃣Bond 118🟥118🟩 Hii ina maana gani?? Je ni sahihi na...
0 Reactions
6 Replies
987 Views
Nawasalimu kwa jina la Engonga Baltazar. Mwaka 2017 nipo advance nilitoroka skul nikaenda kukesha kwenye mwenge, napenda sana muziki na nilikuwa na talent ya kucheza na kuimba ila sjui...
5 Reactions
9 Replies
973 Views
Wakati Tanzania ikizozana kuhusu uwajibikaji wa matumizi ya fedha za umma, hebu tutazame hali katika mataifa yanayodai kuwa vinara wa uwazi na utawala bora. Ripoti za hivi karibuni kutoka Marekani...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Mzuka wanajamvi! Hawa bodaboda wengi tunaowadharau wamekuwa msaada sana. Tumeona kwa Abdul Nondo na yule mama wa Chadema hata yule naibu waziri alipata ajali na mchepuko akimkimbia mke wake...
2 Reactions
4 Replies
445 Views
Habari Kwa makazi nipo dar es salaam, Nina mtaji mdogo ambao Kwa upande wa frame ni changamoto Sasa Basi nataka kufanya biashara Kwa njia ya mtandao hasa kupitia WhatsApp Kwanini nataka kutumia...
0 Reactions
0 Replies
485 Views
Hiyo nafasi niliyo acha hapo juu ni kwaajili ya salam. Twende kazi..... Huo mwaka 2097 nina rafiki kwa jina la James. Jame miaka hiyo ameajiriwa kwenye moja ya hotel zilizo bamba pale jijini...
9 Reactions
60 Replies
3K Views
Kitu pekee nilichomlaumu Shujaa Magufuli ni kubomoa ile Club Billicanas ambayo 1980s iliitwa Mbowe Hotels. Kile kilikuwa chuo cha kujifunza maisha ya Mjini na taarifa zote za mashambani, Mjini na...
4 Reactions
11 Replies
633 Views
Nimepata hitilafu ya kutopata OTP kwenye mfumo wa internet banking yapata wiki sasa. nimetoa taarifa na kupewa ticket lakini mpaka sasa kimya. ninaomba bw kalegeye ulifanyie kazi suala hili...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Back
Top Bottom