Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ARUSHA: Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika Mkutano wa Pili wa Mwaka wa Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika (AAAG) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa...
0 Reactions
1 Replies
390 Views
Hivi karibuni Mdau wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Maji Bukoba - BUWASA, kushughulikia changamoto ya Wateja wa Mita za Maji za Prepaid kukosa Tokeni. Wafanyakazi wa BUWASA wakiwa...
1 Reactions
0 Replies
419 Views
Habari wadau wa JF. Natoa wito huu kwa Kamishna Msaidizi wa Ardhi Tabora, maofisa wengine wa kitaalam, na viongozi wa kisiasa, akiwemo Waziri mwenye dhamana ya Ardhi, Mkuu wa Mkoa, na Mkuu wa...
0 Reactions
1 Replies
477 Views
Shida ya maji Kata ya Pangani, Halmashauri ya Kibaha Mji Mkoa wa Pwani. Ndugu Admin/moderator naomba kutoa malalamiko yangu juu ya wizara ya Maji, kwani pamekua na shida ya maji miaka nenda rudi...
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Habari JamiiForums, Ni miaka minne sasa tangu DAWASA Kibaha walivyositisha huduma ya maji Kibaha - Pangani - Mtakuja. Mara ya mwisho maji yalitoka November 2020 hadi leo maji hayatoki na hakuna...
2 Reactions
2 Replies
845 Views
WAZIRI wa Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma ameitaka jamii kushirikiana kwa misingi ya maadili mema, kudumisha amani na utulivu Nchini katika kuondokana...
1 Reactions
0 Replies
272 Views
Fanya observation ndogo 1.utagundua mazingira unayokaa kuna Ile hali ya kuridhika ya wale wazawa wa eneo Husika(maendeleo mara nyingi yanaletwa na watu wakuja) 2.Ubaguzi wa kazi pia unapokuwa...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
Gari lenye namba za usajili T405 DPJ limeacha njia na kuparamia fremu za maduka na mabucha ya samaki eneo la Ubungo Riverside Jijini Dar es salaam asubuhi leo December 02,2024. Hadi sasa majeruhi...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza utabiri wa mvua kubwa katika mikoa 11, itakayoanza leo, Novemba 30, hadi Desemba 1, 2024. Maeneo yatakayoni mikoa ya Nyanda za Juu Kusini...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika wametakiwa kuandaa mapendekezo yanayohusu umuhimu wa mifumo madhubuti ya usimamizi wa fedha za umma inayoweza kukabiliana na changamoto zinazojitokeza...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Hata kama mmiliki wa hili bus hayupo humu ila naamini jf ni mtandao mpana wanaomfaham watamfikishia salam zake. Jana nimepeleka mzigo pale sheli ya Engen ubungo nilikuwa na mizigo miwili mmoja wa...
29 Reactions
65 Replies
4K Views
Salamu sio makusudio ya mada yangu pendwa. Ndugu zanguni, Mimi naishi kijijini Sana na Mimi ni mtumishi wa serikali ngazi niliobarikiwa ambayo ninyi haiwahusu na siwezi kuwaambia ng'o. Sasa Jana...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Tutakumbuka Serikali imeweka utaratibu wa kuhakikisha huduma muhimu ya chakula na lishe inapatikana kwa Wanafunzi wa elimu ya msingi mashuleni. Utaratibu huo unatekelezwa kutokana na Mwongozo wa...
0 Reactions
1 Replies
372 Views
Suala la Umeme CHATO, imekuwa ni kama anasa vipi huko Msoga na Kizimkazi hali ni hii pia? Kwakeli sijui Wanachato wameikosea nini Serikali hii. Adha ya umeme niliyoikuta huku ni kubwa mno, muda...
0 Reactions
1 Replies
285 Views
Reference: Marko 9:1 Luka 9:27 Mathayo 16:28 Mistari yote hio ina ujumbe unaofanana, ya kwamba Maneno hayo yalitamkwa na Bwana Yesu mwenyewe akiwa katika mwili wa damu na Nyama akiwaambia...
0 Reactions
3 Replies
493 Views
Sisi Wafanyabiashara na wakazi wa Geita, kwa miaka mingi sasa stendi yetu imekuwa na miundombinu mibovu. Miaka nenda rudi kilio chetu kimekuwa ni uboreshwaji stendi yetu lakini hakuna kitu...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Hivi ndivyo hali ilivyo upande wa mitaa ya Mwanza kutokana na mvua iliyonyesha leo Desemba 2, 2024 ambapo maji yamejaa katikamaeneo mengi iliwemo kufunika Barabara. Hii ni mitaa ya Furahisa –...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaam, shalom!! INTRODUCTION. Tuendelee na mada za wakubwa, Naamini Hadi sasa Kila mtu ajua kuwa, Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI. Nimekuwa nikifanya majaribio mengi ya...
13 Reactions
40 Replies
2K Views
Tumtolee Mungu Vitu Vinavyotugharimu Zaidi Tumtolee Mungu vitu vinavyotugharimu hata kuhatarisha Maisha. Mfano wa mashujaa watatu wa Daudi Hebu tuangalie mfano kuhusu Daudi, kupitia Mfalme wa...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom