Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yaani mtoto wa kiume kabisa unathubutu kumwambia mwanamke eti malizia mjengo wako tuje kuishi wote wakati hujui hata bei ya msumari wa zege? Hapana, nimekasirika sana. Wanaume acheni hizi tabia...
2 Reactions
4 Replies
357 Views
Unashangaa mtu ana assets za 5bn lakini anaenda kukopa benki shilling 200m, kwasbabu ana mali ila hana cash-flow na mwishowe anashindwa kukusanya pesa za benki kuzilejesha kwa wakati riba ina...
3 Reactions
21 Replies
994 Views
Habari wakuu, Mimi ni Mtanzania kindaki ndaki. Nimepata nafasi ya kutembelea maeneo kadhaa nje na ndani ya nchi. Hakuna jambo linanikera kama namna tunaishia kama mifugo katika nchi yetu. Ni kama...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Kama kichwa kilivyojieleza wakuu aya tiririkeni hapo mmoja baada ya mwingine. Nasoma replies.
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Kwa wauzaji wa reja reja wa soda hulazimishwa na Kampuni ya Pepsi, kununua soda wasizotaka kununua wala wasizo na wateja nazo Ili wapewe soda aina ya Pepsi. Huu ubabe wa Kampuni ya Pepsi unakera...
8 Reactions
64 Replies
3K Views
Acha majivuno ndugu, acha umwamba, acha "usimba", sio wewe, ni hio bahati pekee ya mafanikio, kuwa grateful sio kwa aliekupa mchongo tu hata kwa sisi tunaojipitisha tu maana njaa zetu zikikupata...
18 Reactions
21 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa mkono wa pole kwa familia ya mwanamuziki mkongwe wa dansi, Marehemu Boniface Kikumbi "King Kiki" na familia ya Muigizaji...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Mega Beverages Limited (MBL), Kampuni inayotambulika katika sekta ya vinywaji Tanzania, imeadhimisha miongo miwili ya mafanikio kwa kuzindua toleo maalum la K-Vant Premium Spirit. Bidhaa hii ya...
1 Reactions
0 Replies
272 Views
DODOMA Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga ameziagiza ofisi zote za Ardhi nchini kuanzia mkoa hadi halmashauri kuhakikisha zinakaa vikao vya muda...
1 Reactions
2 Replies
428 Views
Na Zurima Ramadhan, Zanzibar Wadau wa kupinga vitendo vya udhalilishaji nchini wametakiwa kuzitumia siku 16 za kupinga ukatili kwa kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya vitendo hivyo. Akifungua...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Dar es salaam Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amewakabidhi TANAPA Malori matano na mitambo mitano yenye thamani ya Dola milioni 2.4 sawa na shilingi Bilioni 6.4 za...
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Dkt. Nyambura Moremi mkurugenzi wa maabara ya taifa anastahili kuchukua nafasi iliyo achwa wazi kufuatia kifo cha Dr Faustine Ndugulile. Tuungane kumpigia kampeni aweze kuchukua hiyo nafasi...
0 Reactions
4 Replies
513 Views
Ni zaidi ya saa nne sasa hakuna huduma kwasababu ya mtanndao! Kila Mgonjwa anayefika hapo anaambiwa kirahisi rahisi tu kuwa hakuna mtandao Cha kusikitisha zaidi ni majibu tunayopewa ni wakavu...
0 Reactions
1 Replies
368 Views
Unakuta ndani counter ina madiridha 6, lakini teller mmoja tu! Inaleta usumbufu usio wa lazima hata kidogo. Kama hapa tupo NBC DUCE hapa Moapa stadium ni kero iliyoje. Teller mmoja tu wateja...
2 Reactions
10 Replies
548 Views
Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi...
6 Reactions
100 Replies
12K Views
Hili ni Bomba la Maji ambalo lina miaka kadhaa sasa halifanyi kazi, tunategemea maji ya kwenye visima. Wananchi wa Kwa Pengo, Sheya ya Sizini Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tuna...
4 Reactions
8 Replies
695 Views
Wananchi wa Kijiji cha Keichuru kilichopo katika Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani wamempongeza na kumshukuru Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kwa utekelezwaji wa miradi ya kupeleka umeme vijijini...
0 Reactions
0 Replies
311 Views
📖Mhadhara (69)✍️ Zipo familia au koo ambazo hazina maelewano miaka nenda'rudi. Yaani ukoo fulani hauelewani na ukoo fulani, familia fulani haielewani na familia nyingine, au ndani ya ukoo mmoja...
2 Reactions
0 Replies
397 Views
ARUSHA: Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika Mkutano wa Pili wa Mwaka wa Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika (AAAG) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa...
0 Reactions
1 Replies
390 Views
Hivi karibuni Mdau wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Maji Bukoba - BUWASA, kushughulikia changamoto ya Wateja wa Mita za Maji za Prepaid kukosa Tokeni. Wafanyakazi wa BUWASA wakiwa...
1 Reactions
0 Replies
419 Views
Back
Top Bottom