Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
Askari wawili wa Jeshi la Polisi ambao ni Izdory George Michael na Rehema Juma Magawa, wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Noah katika barabara kuu ya Dar es salaam -...
0 Reactions
Replies
Views
Ipo hivi , mama yangu ni mwalimu mstafu, Mimi ndiye kijana wake wa mwisho, mama yangu ni mgonjwa wa Bp, ni mwaka wa tatu tangia amegundulika kuwa na Blood pressure Ukizingatia umri wake na Hali...
0 Reactions
1 Replies
69 Views
Habari wakuu Hatimaye nimechagua kwenda kwa mzazi mwenzangu baada ya kutuma nauli 😁😁(Nlitakiwa kwenda tangu tar 23/nimetafuta sababu hadi imeishiwa zaidi ya kwenda) niliwaza kuila ila nikaona acha...
1 Reactions
7 Replies
70 Views
Hii sio habari njema, inakadiriwa 2080 idadi ya wanawake itapita idadi ya wanaume duniani. Kila uchao death rate inazidi kukua kwa sisi wanaume. Chanzo : NBS
6 Reactions
58 Replies
311 Views
Huu msemo Sijawahi kuelewa. Arusha hawana bahari, Dodoma jangwa, Mwanza wana ziwa sio bahari lkn pia ni mji. Kagera ni mji hamna bahari. Kwani I Morogoro pekee. Kutoka Sweet Africa Msamvu wenu...
6 Reactions
78 Replies
576 Views
Wakuu, Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland...
224 Reactions
1K Replies
212K Views
Wakuu 1. Inahusiana na wewe kubaki bila kuondoka. Utaelewa vizuri katika wakati sahihi. 2. Utasimamia kufutwa kwa sheria ya kutoshtakiwa isipokuwa kwa mkuu kwa maamuzi aliyofanya akiwa...
165 Reactions
496 Replies
38K Views
Ukiona mtu au kampuni inatoa fulsa yakupata pesa ujue wewe msaka fulsa ndio fulsa yenyewe ukienda uko UKIAMBIWA TOA KIANZIO ILI ........ ujue tayar apo stuka! Au ukiambiwa anza kwa kuwekeza...
5 Reactions
14 Replies
149 Views
VIJANA, THAMANI YAKO HAIPIMWI NA KIASI CHA PESA ULICHONACHO. USIKUBALI KUINGIZWA KINGI NA WANAWAKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wengi leo wanaishi chini ya shinikizo kubwa ili...
8 Reactions
46 Replies
308 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) akizungumza wakati wa kikao kilichokutanisha viongozi kutoka matifa mbalimbali katika...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Wilayani Siha, Kata ya Endumeti Mkoani Kilimanjaro kuna rushwa kubwa na uhujumu uchumi katika Shamba la miti TFS West Kilimanjaro. Katika msitu wa hifadhi, kuna shughuli za kilimo cha mazao kama...
0 Reactions
1 Replies
155 Views
Magical power!!!! SEHEMU YA KWANZA Leo Nataka Nizungumzie Juu ya Dawa Za Meno katika sehemu ya Kwanza na sehemu ya Pili Nitazungumzia Miswaki ya Plastiki !!!. Ninashukuru Mimi Nimezaliwa katika...
9 Reactions
38 Replies
661 Views
Ule msemo wa wadhungu 'you are what you eat' ni kweli kabisa... muonekano na afya yako vinaendana na tabia zako za kula - espesheli aina ya vyakula unavokula. ukila haraka haraka bila kutafuna...
2 Reactions
33 Replies
304 Views
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unapenda kuwajulisha kuwa, leo tarehe 26 Agosti 2026 Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu - Natal...
0 Reactions
7 Replies
112 Views
Ni lini sisi CHADEMA hatukuwalalamikia CCM kwenda kinyume na katiba toka enzi na enzi na Nchimbi akiwepo? Wamepotezwa watu kibao, kina Saanane wamepotea ila Nchimbi ziiiiiii. Upinzani umetekwa...
3 Reactions
23 Replies
164 Views
Kwanza hushindi ofisini,muda mwingi unashinda kwa mfipa kunywa pombe na supu ya makongoro. Hapo ofisini kwako kila siku nyie mnasingizia hamna mtandao na wakati maeneo jirani kama Kinondoni na...
7 Reactions
37 Replies
423 Views
Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au...
42 Reactions
601 Replies
5K Views
Je umewahi kumsikia mtu aliyepata ajali mbaya au moyo wake kusimama akiwa hospitalini, madaktari wakamtangaza amefariki, lakini baada ya dakika chache moyo ukaanza tena kudunda na akazinduka...
8 Reactions
65 Replies
764 Views
INTELLIGENCE vs KNOWLEDGE! (UFAHAMU DHIDI YA AKILI Ufahamu (au intelligence) ni kitu ambacho mtu au mnyama au kiumbe hai yeyote anazaliwa nacho, hafundishwi na yeyote. Intelligence ni tofauti na...
1 Reactions
3 Replies
143 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…