Hali hii imezoeleka katika manispaa tajwa hapo juu! Na kugeuka maficho ya vibaka na machimbo ya watenda vitendo haramu!
Ni rai yetu kwenu uongozi wa manispaa. Kuja na mpango mkakati wa...
JUST LET HIM BE THE MAN...
If lots of women will allow their men be the men in the marriage, no one will end up divorced.
A lot of women marry men then turn them to women after marriage. They...
Ingekuwa maoni yangu!
Ningeshauri nafasi ya IGP ateuliwe mama mmoja anaitwa SUZAN!
Huyu mama ukiweka pembeni madhaifu ya kimfumo, anaouwezo mkubwa sana wa kusimamia maswala ya usalama wa raia na...
Jamani hebu tujaribu kuorodhesha kazi zenye laana hapa Tanzania kutokana na majukumu ya kazi husika. Tusiweke kazi haramu kama uchangudoa, ujambazi, n.k.
Tutaje zile ambazo ni halali.
Vodacom Tanzania
Tafadhali, nime subscribe kifurushi cha sms 10,000 kwa sababu ninahitaji kutuma sms kwa watu wengi..ajabu nikituma msg chache tu mtandao unablock.
Naambiwa mpaka niombe huduma...
Naona Azam Media ni kama wanajilazimisha kutoa salamu za Christmass kwa watazamaji wao, maana matangazo yao yote wanaishia kuliruka neno Christmas na kutaja heri ya Mwaka Mpya.
Binafsi naona kama...
MWISHONI mwa wiki, Tanzania ilipokea heshima ya aina yake kwa watanzania watano waliotunukiwa udaktari wa heshima ya Chuo Kikuu cha Read Impact kilichopo Colorado nchini Marekani.
Tukio hilo...
Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye huzi;
Leo nimetoka Kigamboni kuelekea Kariakoo kwa usafiri wa daladala, cha kustaajabisha ni kwamba 90% abiria kwenye gari hilo wanatumia iphone , wengi wao...
Gari ya serikali namba STL 9923, Usiku huu imeshambuliwa kwa mawe na wananchi wenye hasira butu, na watumishi waliokuwemo ndani wameumizwa.
Chanzo cha kizaa zaa hicho inasemekana hilo gari la...
Mwili wa aliyekuwa mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Aman Simbayao aliyefariki dunia kwa kushambuliwa na wananchi wenye hasira eneo la Tegeta kwa Ndevu, jijini Dar es Salaam, utaagwa...
Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa...
Wakuu,
Inaonekana mambo ya nishati safi yameendelea kushika kasi hapa nchini
Wananchi wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha wameipongeza Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa mradi...
Tarehe 7/12/2024 kuna mteja alifika kwenye duka linalouza vifaa vya umeme kununua mojawapo ya bidhaa za umeme bahati mbaya akawa amekuja na kiasi cha pesa pungufu akaomba muuzaji aongee na bosi...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akielezea sababu ya Serikali kujumuisha Tahasusi za masomo ya Dini katika ngazi ya Elimu ya Sekondari baada ya mwongozo kutolewa hivi karibuni kuhusu...
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) inatekeleza mradi wa kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kupata elimu kwa njia mbadala (SEQUIP) chini ya programu ya Altenative Education Pathway...
Mlisha ambiwa na Bwana Aweso msikate maji weekend.
Mmevizia kaenda kuwatafutia fund Korea mnakata maji. Ila Dawasa mna makusudi sana mradi mharibu mipango ya waziri tu.
UPDATE:
Eastern Africa's population growth between 2014 and 2024:
1) Ethiopia: 30% up to 129 million
2) Tanzania: 38% up to 69 million
3) Kenya: 22% up to 56 million
4) Uganda: 38% up to 50...
WAZIRI KOMBO ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 107 YA UHURU WA FINLAND
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameshiriki sherehe ya Maadhimisho ya...
Salaam Wakuu,
Baada ya Mdau wa JamiiForums aliyejitambulisha kama Dereva kudai NEMC imewachelewesha Mpani kwa wiki Mbili, NEMC wamewataka Madereva hao kuwasiliana na Wakala wao.
"Kwa muda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.