Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu. Nahitaji kuwasiliana na wakulima wa choroko mikoa ya kaskazini kwa mazungumzo ya kibiashara.
1 Reactions
0 Replies
287 Views
Kwa mujibu wa takwimu za kibiashara,Rwanda imepunguza kuagiza bidhaa kutoka Tanzania Kwa takribani asilimia 60% na kuanza kuagiza bidhaa kutoka Kenya Kwa Wingi zaidi. Yaani Kenya ambayo Haina...
0 Reactions
10 Replies
642 Views
Kwa jinsi ilivyo wizara ya mambo ya ndani kuwa na hekaheka za matukio ya kihalifi nadhani wizara ya mambo ya ndani ilipaswa iwe na mtu mkali. Ukali wenye maana na kwenye mambo ya msingi. Kimsingi...
2 Reactions
12 Replies
702 Views
Nlikuwa natafuta kagari kadogo kavits kwa ajili ya shuhuli za kaz kuzungusha oda mjini nikaweka bejeti nitafute kagari cc ndogo ili kanisaidie kusambaza oda zangu hata kigari cha 4.5 m sawa...
79 Reactions
146 Replies
9K Views
Hii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa. Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya...
18 Reactions
136 Replies
6K Views
Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa. Hata hivyo baada ya muda mchache...
25 Reactions
235 Replies
7K Views
Habarini JFcians! Kutokana na mitazamo ya wengi kuhusu watu wa pwani, watu wa pwani wanachukuliwa kama ni weak kiakili na hata kiuchumi. Jambo linalonishangaza mpaka leo hii ni hili la Mkwere na...
15 Reactions
66 Replies
4K Views
Kwa kuwa hii sheria imeshaanza kutumika sioni sababu ya kumfumbia macho huyu Balali wa Twitter. Tunajua Balali ameshakufa, sasa anachokifanya huyu wa Twitter ni upotoshaji na kama mtanyamaza basi...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Tanzania ni nchi tajiri katika rasilimali asili, ikiwa na madini mengi ambayo yanaweza kuleta utajiri mkubwa kwa taifa na wananchi wake. Hata hivyo, hadithi ya utajiri wa madini nchini imekuwa na...
1 Reactions
1 Replies
838 Views
Anonymous
Napenda kuwasilisha malalamiko kutoka kwa watumiaji wa barabara ya Kigamboni/Ferry - Cheka kuhusu hali mbaya ya barabara hii, hususan vipande kadhaa ambavyo lami imekwanguliwa kwa lengo la...
1 Reactions
0 Replies
330 Views
Mimi ni Mfanyabiashara wa Soko Kuu la Chifu Kingalu ambalo lipo Manispaa ya Morogoro, katika soko hili kuna changamoto kubwa hasa kuharibika kwa taa, swichi za feni pamoja na masinki ya kunawia...
1 Reactions
1 Replies
571 Views
Hifadhi ya Mlima Lihanje ni chanzo pia cha maji kwa Wakazi Kata ya Kilagano, Halmashauri ya Wilaya ya Songea. Pamoja na faida hiyo kuna uharibifu unaoendelea wa kuendesha shughuli za kilimo...
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Mpaka unasoma uzi huu natumaini uko njema kiafya. Siku hizi mjini wimbi kubwa lawatu wenye pesa nivijana. Vijana tupeni siri mnatoa wapi hizo pesa? Sawa unaduka ila mbona umepanga kadeti chache...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Kuna imani ilianzia Marekani huko miaka ya 1960s, imesambaa hadi Tanzania, Arusha nimeona wapo na pia DSM na maeneo mengine ya nchi, hii ni imani ya Branhamites, wafuasi wa mtumishi mmoja wa Mungu...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Wakubwa wawenzangu nawasalimia Nimepokea simu asubuhi ya leo kuhusu mwanangu wa kiume nimeabiwa alikuwa klabu jana usiku, hulitokea ugomvi na mwezake,walikuwa wanagombania wanawake Purosipa...
17 Reactions
67 Replies
3K Views
Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia: 1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini! 2. Marufuku...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Msikilize👇 https://www.facebook.com/reel/862238082613098
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko...
17 Reactions
89 Replies
3K Views
Naandika hii mada nikiwa na uchungu moyoni. Sasa hivi nina miezi kama 4 hivi natumia Daladala kwenda na kurudi kazini na mara chache, tena chache sana huwa natumia bodaboda kazini mpaka home...
89 Reactions
212 Replies
16K Views
============= Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA...
32 Reactions
342 Replies
20K Views
Back
Top Bottom