Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dunia imewahi kushuhudia mradi mmoja wa "hovyo" sana uliokuwa unaitwa "YAS Project",ambao ulikuwa na malengo maalum ya kuwasaidia LGBTQ maarufu hapa kwetu kama "mashoga" wasio na makazi! Kwa...
32 Reactions
117 Replies
12K Views
Kumeibuka wimbi la michezo ya kamali katika vyombo vya habri hapa Tz mfano BUTUA PESA (REDIO FREE & KISS FM) MCHONGO PESA (CLOUDS MEDIA GROUP) CHEZA PESA (BONGO FM) katika vyombo hivyo vya habri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wabunge wanne kati ya 17 waliolazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) wameruhusiwa baada ya afya zao kuimarika, huku wengine wakiendelea na matibabu. Majeruhi hao walipata ajali juzi eneo...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwakweli mnachokifanya sio sawa, mnaingilia faragha zetu kwa kutuwekea CCTV camera kwenye vyoo vya kiume vya 'public' vilivyopo kwenye jengo la wodi ya wagonjwa wa...
12 Reactions
47 Replies
3K Views
Benki hii unaingia unakuta mafoleni ya ajabu ajabu. Wahudumu wapo wapo tu, wanapita pita tu mara huku mara kule. Huduma mbovu na zinachelewa. Ipo hivi miaka nenda rudi. Kuna kipindi niliwahi...
12 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu, Inaonekana kama Sativa is here to stay. Siku ya leo, Gazeti la The Guardian kutoka Uingeereza limetoa bandiko linalohusu masuala ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini Edgar...
14 Reactions
63 Replies
4K Views
Hawa wadogo zetu almaarufu watoto wa 2000 wanashida kubwa sana, kizazi hiki cha 2000 ni kizazi cha ovyo kuwahi kutokea. Kwa muda sasa kimekuwa kikisemwa hasa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye...
19 Reactions
55 Replies
3K Views
Riyadh: Wanasayansi wa Shirika la Kimataifa linalofiatilia Haki ya Ukame na ujamgwa Duniani wametoka tahadhari Kwa Nchi ya Tanzania na South Sudan kwamba Nchi hizi 2 ndio zinaongoza Duniani Kwa...
1 Reactions
7 Replies
442 Views
Anonymous
Tunakosa hata huduma ya Bajaj na Daladala sababu ya njia mbovu, hutulazimu kutumia bodaboda na kukatisha kwenye viwanja vya watu. Mamlaka zinazohusika na Miundombinu hii ziangalie namna ya...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Nilikuwa nafuatilia kwa ufupi baadhi ya viongozi na umri wao wa kuanza kubeba majukumu ya kitaifa nikagundua walikuwa na umri mkubwa. Kwa mfano: Juliasi. K. Nyerere alianza darasa la kwanza akiwa...
1 Reactions
3 Replies
492 Views
Ukienda nchi zenye maendeleo kama China,Us,France,Uk na nyinginezo huwezi kuta panga pangua ya viongozi kila siku Yaani Raisi akiingia na waziri atamaliza nae muhula wake na akizingua anatimuliwa...
0 Reactions
5 Replies
374 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuondoa kwenye nafasi yake Afisa Ardhi wa Wilaya ya Korogwe, Nyambega Kichele, kwa kutokufuata utaratibu wa kutoa hati...
0 Reactions
1 Replies
536 Views
Bodi ya Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) wameishauri Mamlaka ya Bandari Tanzania kuangalia uwezekano wa kujenga maghala ya kuhifadhia mafuta Bandari ya Mbamba Bay kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Haina uhalisia Kauli yake itawafanya watu wengi waogope mazoezi Hatuna vituo vya kutosha vya kufanya uchunguzi kama huo Ni gharama kufanya chunguzi Watu wangapi umewasikia wakifa kwa sababu ya...
5 Reactions
26 Replies
7K Views
Wakazi wa Langai wapo katika hali ya wasiwasi kutokana na kusimama kwa ujenzi wa daraja ambalo lilitarajiwa kuwa kiunganishi muhimu cha usafiri na usalama wa wakazi wa eneo hilo. Mwananchi mmoja...
0 Reactions
4 Replies
472 Views
Katika maisha Nina amini biashara ambayo inaweza nikafanya wewe ukatoboa kuna mwingine hawezi tobos 👉Tuendelee na moyo huo huo wa wa upendo as wanajamii! 👉Usisite kutoa mawazo yako pale mwenzako...
2 Reactions
0 Replies
218 Views
taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio...
11 Reactions
74 Replies
5K Views
Hivi kuna uhusiano gani kati ya wanyamwezi pamoja na wasukuma na zanzibar? Au kati ya Wanyamwezi pamoja na Wasukuma na zanzibar? Maana Zanzibar kuna idadi kubwa ya Wanyamwezi pamoja Wasukuma...
2 Reactions
1 Replies
304 Views
NAJUA MPO HAPA MLIOTOA MIMBA NAOMBA NIKWAMBIE KAOMBE REHEMA KATUBU KWA MUNGU PALE MIMBA INAPOINGIA UHAI UNAINGIA NA MTOTO ANAKUWA WA MUNGU SI WAKWAKO TENA MWANAUME WEWE UMETUMIKA TU KUTENGENEZA...
5 Reactions
12 Replies
642 Views
Alipokuwa akiapa kushika nafasi ya juu nchini, aliapa kulinda katiba na si ugali! Alipowaapisha viongozi aliowateua, hawakuapa kuhakikisha kuwa ugali unapatikana bali kuilinda katiba! Iweje basi...
6 Reactions
21 Replies
653 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…