GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Alipokuwa akiapa kushika nafasi ya juu nchini, aliapa kulinda katiba na si ugali!
Alipowaapisha viongozi aliowateua, hawakuapa kuhakikisha kuwa ugali unapatikana bali kuilinda katiba!
Iweje basi waseme katiba haileti ugali mezani pindi wanapoombwa katiba inayokidhi mahitaji ya wengi?