themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,065
- 3,845
Ukienda nchi zenye maendeleo kama China,Us,France,Uk na nyinginezo huwezi kuta panga pangua ya viongozi kila siku Yaani Raisi akiingia na waziri atamaliza nae muhula wake na akizingua anatimuliwa hakuna hamisha hamisha
Hapa kwetu hivi hii style mbona ni ya kivyetu vyetu tumeiiga wapi
Hapa kwetu hivi hii style mbona ni ya kivyetu vyetu tumeiiga wapi