Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,452
- 135,691
Benki hii unaingia unakuta mafoleni ya ajabu ajabu. Wahudumu wapo wapo tu, wanapita pita tu mara huku mara kule. Huduma mbovu na zinachelewa.
Ipo hivi miaka nenda rudi. Kuna kipindi niliwahi kumwandikia barua kali meneja wa tawi moja, nikamwambia ufunge akaunti yangu sitaki tena.
Nimeingia hapa benki ni kama gulio.
Ipo hivi miaka nenda rudi. Kuna kipindi niliwahi kumwandikia barua kali meneja wa tawi moja, nikamwambia ufunge akaunti yangu sitaki tena.
Nimeingia hapa benki ni kama gulio.