Je, Professor anaweza Kuwa Chawa wa Mwanasiasa?

Je, Professor anaweza Kuwa Chawa wa Mwanasiasa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Je, Professor anaweza Kuwa Chawa?

Kama ndio, Uchawa unamsaidia nini kwa level ya kitaaluma aliyofikia?

Je, kwake Uchawa itakuwa ni Baraka au Laana?

Ahsanteni sana 🐼
 
Je, Professor anaweza Kuwa Chawa?

Kama ndio, Uchawa unamsaidia nini kwa level ya kitaaluma aliyofikia?

Je, kwake Uchawa itakuwa ni Baraka au Laana?

Ahsanteni sana 🐼

Prof wa majalalani aliyesema jiwe ni mungu je? Uchawa haujalishi certificates wala cv mkuu, uchawa popote tu na kwa sasa umetamalaki
 
Tafuta mwanaccm aliye na cheo anza kumsifia sifia.
we jipendekeze pendekeza, mpaka apende
we mtukuze tukuze tu., mpaka naye ajione ni Mungu katika miungu
Ukiweza mtawaze akijisaidia!
Cheo nawe utakipata.
Usisahau kumshukuru mungu cheo ukipata
 
Je, Professor anaweza Kuwa Chawa?

Kama ndio, Uchawa unamsaidia nini kwa level ya kitaaluma aliyofikia?

Je, kwake Uchawa itakuwa ni Baraka au Laana?

Ahsanteni sana 🐼
Nikikumbuka ile mheshimiwa Mungu huwa na.... Au basi.
 
Natafuta Mshangazi, akiwa mwajiliwa serikalini au amejiajiri itapendeza zaidi

Mimi mme
Umri: 27
Makazi: Gongo la MBOTO
Kabira: Mnyamwezi

Aliyekidhi vigezo njoo PM
 
Natafuta Mshangazi, akiwa mwajiliwa serikalini au amejiajiri itapendeza zaidi

Mimi mme
Umri: 27
Makazi: Gongo la MBOTO
Kabira: Mnyamwezi

Aliyekidhi vigezo njoo PM
Dogo ndo umeishiwa kiasi hiki? Poleee aseeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dogo ndo umeishiwa kiasi hiki? Poleee aseeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa we chukulia mambo seriously,, ila mwenzako kila ikifikaga jumapili natoka out yaan nakula acha tuu
 
Ko Out ni J2 tyuuh? Achana na huyo mshangazi anajitafuta bado.
Mashangazi OG kila siku Bata.
Unakwama wapii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona utakagi kunambia upo wapi ili unipe connection ya mishangazi dada ake 🤗🤗🤗
 
Je, Professor anaweza Kuwa Chawa?

Kama ndio, Uchawa unamsaidia nini kwa level ya kitaaluma aliyofikia?

Je, kwake Uchawa itakuwa ni Baraka au Laana?

Ahsanteni sana 🐼
Uchawa unalipa kuliko uprofesa ndiyo maana maprofesa wengi wamechagua kuwa machawa, jalalani panaongoza kwa kuzalisha maprofesa machawa. Uchawa wao ni wa kiwango kilichopiliza mpaka hujitoa ufahamu na kumuita mtu mheshimiwa mungu ili kulinda na kudumisha nafasi yake ya uchawa.
 
Back
Top Bottom