Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana. Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki...
72 Reactions
262 Replies
28K Views
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote Askofu Malasusa amemtangazia msamaha Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa...
16 Reactions
313 Replies
26K Views
Habari za leo wakuu Naombeni msaada wa app nzuri inayosaidia kutaja majina ya watu wanaopiga simu inapokua inaita Na namna ya kuiset Nawasilisha Merry christmass
1 Reactions
12 Replies
769 Views
Mungu hajagawanyika katika nafsi tatu. Mungu ni nguvu, Mungu ni energy. Mungu amesambaa katika kila kona unayoijua. Roho zilizo ndani ya nafsi na miili yetu ni sehemu tu ya Mungu. Ndiyo maana hata...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba linafanya uchunguzi wa vifo vya watu wawili ambao walifariki dunia wakati wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Ali Khamis Camp Vitongoji Chake Chake Pemba...
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Wakuu mwenye anajua software au app nzuri ya kufanyia aptitude test atuandikie hapo chini au anayejua chochote kuhusu hio test atuambie hapo chini kwa manufaa ya vijana wanaowiwa kuomba BIG 4 hapo...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Mtandao wenu mmeufanya kuwa wa hovyo. Hakuna kutoa pesa iwe benki au kwenu wenyewe. Hamtoi taarifa kuwa kuna changamoto. Mbona mnafanya dunia kuwa ya kizamani sana?
1 Reactions
7 Replies
558 Views
Fungulia tu hizo redio zao usikie habari za makongamano na ibada za kubariki,kukomboa, kutakasa n.k mwaka mpya ujao. Ukiwa mpumbavu fulani unajipeleka halafu unaambiwa toa sadaka au panda mbegu...
3 Reactions
3 Replies
379 Views
Efm iko poa kwa asilimia kubwa. The production, The individuals and The deliverance, kwa kweli wanahitaji pongezi. Ila kwa upande mwingine Tv yao bado sana. Na imekaa hivi kwa muda mrefu sana...
6 Reactions
16 Replies
871 Views
Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako. Wamama wauza matunda, wauza kahawa, vyakula na kulala sehemu yoyote kubwa uwe...
2 Reactions
2 Replies
365 Views
🐺 Mbwa mwitu hali mizoga, iwe ya wanyama au ya binadamu huishi maisha yake yote na mwenzi mmoja, na hafanyi mapenzi na mama yake au dada yake. Ni mnyama anayejitoa kwa mwenzi mmoja (monogamous)...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini. SWALI Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa...
10 Reactions
190 Replies
7K Views
Nimelala nimeota amenitokea nyoka mkubwa sana alafu akaanza kupaa juu yani anakwenda mawinguni. Anajua hii inamaanisha nini aniambie..
3 Reactions
18 Replies
857 Views
Wasambazaji/wauzaji wakubwa wa bidhaa za Christmas duniani. Population ya ukristo nchini China -According to a 2023 Pew Research Center analysis, about 2% of Chinese adults identify as...
1 Reactions
1 Replies
325 Views
Mdau umewahi kupotoshwa na maudhui yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI)? Je ni vitu gani unavizingatia katika kutambua maudhui yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia hii...
3 Reactions
4 Replies
641 Views
Kuna clip nimeiona facebook, gwajiboy ametembelea wananchi, ikatokea mwananchi mmoja wanasema alilalamika kwamba nyumba yake imeuzwa. 1. Alimpangisha muuza bucha 2. umeme ukakatika, nyama za bucha...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
Unafanya muamala wa Milioni Moja kwa mfano. Kuna makato unakatwa kama ada ya huduma. Ile hela haimfikii uliemtumia kwa tatizo la mtandao. Badae mtandao unakaa sawa Wanakurudishia Milioni Moja...
2 Reactions
1 Replies
186 Views
Viongozi wa EFM, kipindi chenu kinachorushwa kila siku saa moja jioni, cha jioni ya Leo, ni kibaya, sana, kimejaa maudhui ya kingono ngono, lugha zisizo na staha. Kipindi cha Jana, tarehe...
2 Reactions
4 Replies
725 Views
Back
Top Bottom