Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndoa za saizi kiujumla kwa asilimia kubwa sio kama vita, ila ni vita. kuingia ni rahisi ila kutoka kuna wakati mwingine lazima mmoja afe, Na kwa hii imetokana kwamba vijana wengi huwa wanaoa...
0 Reactions
1 Replies
485 Views
Wataalamu wa dini mje hapa? Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu? Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan...
25 Reactions
428 Replies
12K Views
FaizaFoxy alishaandika akifurahi sana kuwa CR. Kasilimu. Several times tumekuwa tukifurahia kuwa tumepata bonge la mtu katika uislamu. Lakini namwona bado anasheherekea Christmas na familia yake...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Desemba 25 nilienda Ku withdraw pesa ATM. Kadi ikamezwa, nikapiga namba ya simu iliyobandikwa ukutani ndani ya ATM. Baada ya dakika 10 wahudumu wakaja, wakaingia ndani na kuniletea kadi yangu✅...
10 Reactions
14 Replies
915 Views
Ishara kubwa au alama kubwa ya umaskini ndani ya mtu ni hali ya maisha yake. Daily routine ya mtu inatoa jibu kuwa huyu mtu ni maskini , tajiri au mtu wa kipato cha kati. Matendo ya kimaskini ni...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa maana hii Dar mambo haya yamebarikiwa na wakazi wake maana hii sio kificho Tena. Bali mambo hadharani kama wanavyosema msondo ngoma. Lakini mkicheka na Nyani siku ya mavuno mtavuna mabua!
3 Reactions
115 Replies
5K Views
WATOTO ZAIDI YA 800 WAJENGEWA GHOROFA SABA ZA KUISHI DSM Watoto yatima zaidi ya 800 katika Mkoa wa Dar es Salaam wamejengewa ghorofa saba za kuishi ili kuhakikisha kundi hilo la watoto linaishi...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Yaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake. Basi angeweka hata screen protector ile ya Privacy. Yaani kuna wazee wa hovyo kabisa hapa mjini. Yaani basi tu sijasoma IT...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Msisahau. Mwaka mpya2025, lipo jukumu muhimu na la maana sana la kutekeleza kwa maslahi mapana na ustawi wa chadema. Nalo ni kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na kuukataa katu katu...
1 Reactions
6 Replies
383 Views
Habari wakuu, Nimepata kuishi mikoa kama 8 hivi hapa Tanzania kwa kanda tofauti tofauti Lakini hali imekuwa tofauti upande wa Mbeya wakati fulani nilikuwa nawalaumu marafiki zangu kwa nini...
49 Reactions
485 Replies
68K Views
Habar wakuu nauliza ulaji wa korosho Kila siku ni salama kwa afya ya figo? Naje haiongezi cholesterol
3 Reactions
2 Replies
426 Views
Kwema Wakuu! Licha ya Tanzania kuwa na mikoa mingi lakini Mkoa wa Morogoro ndio mkoa namba moja kwa uzuri kwa kuishi. Nitaeleza sababu kama ifuatavyo; 1. Tabia ya nchi na Hali ya Hewa Mkoa wa...
98 Reactions
442 Replies
59K Views
MBUNGE VAN ZEELAND AIPAMBANIA MVOMERO KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA KWA WANANCHI WAKE "Je, lini Serikali itakamilisha mradi wa kusambaza maji katika tarafa ya Tuliani?" - Mhe. Jonas Van Zeeland...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
👉🏾Katika ulimwengu wa siasa, ambapo nguvu za madaraka mara nyingi hujificha nyuma ya pazia la kusadikika na wanaharakati wanajitokeza kama nyota za mwangaza katika giza la mang’amung’amu. Wakiwa...
1 Reactions
1 Replies
368 Views
Haya ni matukio makubwa yaliyotokea Tanzania mwaka 2024 Vifo vya viongozi wakuu: Tanzania ilimpoteza Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (Februari 29), na Waziri Mkuu wa zamani Edward...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwenye jamii zetu au huku mitaanj kuna story zinasema,, Mume au Mwenza wa kiume akienda kucheat(kuchepuka) hali ya kuwa Mkewe au Mpenziwe ni mjamzito anaweza kusababisha matatizo kwa mtoto au mama...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
SOMO: SIKUKUU YA CHRISTMASS NI MAPOKEO YA WANADAMU WALA SIO MAAGIZO YA MUNGU Wakolosai 2:8 Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya...
1 Reactions
8 Replies
871 Views
Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata...
12 Reactions
202 Replies
5K Views
  • Closed
Mzuka Wana jamvi. Bila kupoteza muda naombeni Maarifa na uchumbuzi wa kina juu la andiko hili NB : Lengo la huu Uzi ni kupata Maarifa kama hauna hoja na Maarifa yanayohusiana na Uzi pita...
3 Reactions
80 Replies
3K Views
1. Kuzaliwa kwa Yesu ni habari njema ya furaha kuu(Luka 2:10-11). Malaika walipoleta habari ya kuzaliwa kwa Yesu walisema hiyo ni habari ya FURAHA KUU. Na kwamba furaha hii kuu itakuwa kwa watu...
2 Reactions
6 Replies
682 Views
Back
Top Bottom