Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa kwasababu walikuwepo wanachama wakubwa sana akiwemo Chacha Wangwe, Ndesamburo...
1 Reactions
4 Replies
452 Views
• Kukutana na familia na marafiki: Watu mara nyingi hukusanyika na wapendwa wao kushiriki chakula, kubadilishana zawadi, na kufurahia kuwa pamoja. • Kupamba: Watu hupamba nyumba zao kwa miti ya...
2 Reactions
7 Replies
678 Views
Wakuu nipo Kigali na familia yangu, nimetoka kahama ninapoishi ili kuja kula Christmas hapa. Mimi ni kijana maskini ninayejihangaisha na ujasiriamali mdogo, nilidunduliza tu senti hadi nikanunua...
13 Reactions
160 Replies
14K Views
Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua...
46 Reactions
103 Replies
12K Views
Huu moto wa CHADEMA ni Kuni za moto wa kijani ndani ya CCM kati ya Tanganyika na Zanzibar. Tutaongea lugha moja ya kupindua meza na kurejesha mamlaka na kufanya marekebisho ya katiba haraka...
1 Reactions
7 Replies
386 Views
Wadau, leo kumesambaa taarifa kwenye vyombo vya habari kutoka kwa kamanda wa polisi Muliro akielezea sababu za kujiua katibu wa Feel Free Church kutokana na uchunguzi wa awali. Maelezo ya kamanda...
52 Reactions
247 Replies
24K Views
SAKATA LA KIFO CHA KATIBU NA KILE ALICHOTUACHIA. Na Robert Heriel Ishu hii inasikitisha na kuhuzunisha mno. Ni tukio baya pia linalofedhehesha. Tukio la unyama na udhalilishaji uliovuka mipaka...
20 Reactions
57 Replies
8K Views
Jamani hope leo mmeskia ajali ya coster na lori iliyouwa watu nane Kwa bahati mbaya au nzuri leo ndio ilikuwa siku yangu ya kwanza kufanya safari ndefu tena usiku na ndio mara ya kwanza kuona...
73 Reactions
112 Replies
8K Views
Heri ya sikukuu ya mwaka mpya, Wanajukwaa hili. Penye ukweli uongo hujitenga. Hili naomba lieleweke vema. Miongoni mwa low minded people in Africa ni jamii za Watanzania. Mpaka kufikia umri huu...
42 Reactions
86 Replies
3K Views
Msikilize kwa makini. https://youtu.be/bm-1VGPLwdo?si=Iv2yOqYETyA72i3z
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Ofisi zao hawa Facebook kwa hapa Dar ziko wapi? Na kwa mabilioni yote haya wanayochuma kama faida toka nchi Tanzania, wanalipa kodi ya mapato (income tax)? Na wanailipaje? Maana itakuwa sio fair...
3 Reactions
52 Replies
6K Views
Nimekuwa nikienda kwenye Soko Kuu la Tandika kwa muda sasa, hivi karibuni hali ya mazingira ya soko hilo imekuwa ikizidi kuwa tata na inayotia ukakasi kiafya. Sehemu ya kupikia ambayo inatumiwa...
0 Reactions
5 Replies
951 Views
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada. Kutokana na mabadiliko na maendeleo ya sayansi na teknolojia tubadilishe pia sera zetu kwa vitu vya maendeleo Miaka ya leo miaka kumi na nane ni mzee...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Hii inaweza kumtokea mtu yoyote haijalishi unahusika Moja kwa Moja au lah! Mimi nakumbuka Kuna siku rafiki yangu akuja na mteja anauza dsk 1tb kwa 20 tu basi kwasababu nilimwambiaga nahitaji hivo...
1 Reactions
1 Replies
433 Views
Kuna watu wanajiuliza kwanini Wakristo wanasherehekea Christmas tarehe 25 Desemba? Imeandikwa wapi? Na wengine wanaenda mbali kwa kusema kusherehekea Christmas tarehe 25 Desemba ni ibada ya...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Tajiri Said Lugumi amewekeza Mabillion ya fedha kusaidia watoto yatima, asiyeunga mkono juhudi zake hana tofauti na muuwaji wa watoto yatima Tajiti huyu amewezeka fedha nyingi kujenga vituo vya...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wakuu naomb kujuzwa kuhusu hili jambo kwa wenye ujuzi wa masuala haya ya genetics ....(lengo kujuzwa sio ubaguzi kama Kuna jina lingine sahihi zaidi nilipaswa nitumie mtanisamehe) Kwanini...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Comment ziwe fupi fupi Uzi tayari
3 Reactions
18 Replies
970 Views
Back
Top Bottom