Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,409
- 5,715
Efm iko poa kwa asilimia kubwa. The production, The individuals and The deliverance, kwa kweli wanahitaji pongezi.
Ila kwa upande mwingine Tv yao bado sana. Na imekaa hivi kwa muda mrefu sana. Production mbovu, sound quality mbaya na programms haziko mwake.
Labda ni upande wa budget, bado wanajitafuta kuiboresha TV yao lakini ukikaa na huduma mbovu muda mrefu itatengeneza culture ya poor standards ambayo itakuwa portrayed katika fikra za watu.
Most of u guys mtaweka Tv E labda kama umekosa cha kuangalia kwingine.
Labda ilikuwa mapema sana ku-launch TVE, waangalie wasije kuwa the next star tv.